Ridhiwani Kikwete afichuka kukandia Millya

We are serious! wewe na babako tambueni ars si salama tena kwenu! na iwepo machafuko yakitoke vitega uchumi vyenu vyote tunavifahamu hapa a town tutaviteketeza wezi nyie.
 
Baba, mama, mwana weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haooooooooooooooooooooooooooo! shame on you all! pusi walamba maziwa nyie!
 
Huyu ridhiwani ana lake jambo, anatakiwa aanze kumsema baba yake anayetuongezea umasikini hapa tz, yy ametajirika tayari kwa mgongo wa baba. pia ilibidi umseme mke aache kuwa mwanasheria wa iliyokuwa richmond, ww fisadi tu hata useme nn.
 
Ridhiwani ni nani UVCCM?

mwanachama yeyote(ambaye baba si Rais) anaweza kuisemea jumuia hii kama anavyofanya
 
Ridhiwani anafikiria nadharia ya uridhishwanaji wa utawala wa kupokezana vijiti, asahau Tanzania ye leo, watu wameamka, bora afikirie tu kuendesha biashara za malori aliyoanza na vituo vya mafuta.
 
Ridhiwani jiandae, 2015 sio mbali, makazi yako yatakuwa gereza la ukonga au segerea...
 
CCM kuna vijana wengi tu wenye nafasi na uwezo na wengi tunawaona hapa jukwaani walivyo na uwezo wa kujenga hoja zenye mwelekeo wa kujenga nchi yetu, hawa vigogo serikalini wamepanda mbegu mbaya kwa familia zao kujiona kama wana hati miliko ya kurithi nafasi za uongozi toka kwa wazazi wao.
 
nasikia ole millya hana kazi wala sehemu ya kuishi inadaiwa anashinda katika club moja inaitwa via via nina clip ya viongozi wa ccm ebu nisaidieni jinsi ya kuiingiza humu maana nifanyeje ili kila mmoja aisikilize mwenyewe
wanataka kujua anapoishi ili wakamfanye nini??
 
Kwanza haka kajamaa kana ufisadi mwingine kamefanya na huyo swahiba wake Benno Malisa kupitia TANROADS wasubiri ndo tunapika data, asituletee kuumizwa na milioni mbili wakati zake ni madolari
 
Days are numbered huyo dogo anajifanya hii nchi ni yakwao, siku siyo nyingi yatamkuta kama yaliyomkuta mtoto wa mzee mzima wa Africa Gaddaffi
 
Amerefuka kidogo siku hizi maana akikaa kwenye meza kama ile huwa anaona watu hawamuoni. Anaweza kusimama kabisa juu ya meza.
 
Gadafi leo yupo wapi? alijidai hakuna wa kumwondoa matokeo yake alikufa kwa aibu familia iliyobaki inasubiri kunyongwa kama si maisha jela, nasikia kikwete alikwenda kuomba hifadhi brazili kikinuka akimbie
 
Back
Top Bottom