Ridhione kikwete na Campuni ya TRANSCARE.

fugees

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
2,868
882
Leo nipo Tunduma nimekuta vijana na wazee madereva wanavyo lalamika kuhusu hii kampuni, wanasema inawapiga bao na kuwafanyia fitina kubwa sana.

Jamaa mmoja ambaye amenipa mpaka lift anasema dogo riziwani anatutesa sana barabarani na anatunyanyasa sana, anasema kampuni hii haijawahi hata kusimamishwa na polisi si kwa sababu eti haina makosa bali wanaiogopa jina na hata ikipakia mihadarati hayupo wa kukagua gari hilo.

WADAU SWALI KWANGU KWELI HII KAMPUNI NI YA DOGO HUYU?
 
Kama kweli RAFIKI WA HAKI kwa maana ya Mwanasheria,

Je Kijana mwenzetu Ridhiwani Kikwete, pindi atakaposikia maneno kma haya ATAJISIKIJE MTANZANIA MWENZAKE TENA MAMA MJANE anapozulumiwa kilicho chake eti kwa jina la urafiki na nyumba ya utawala katika nchi yetu?????????????

Hili jambo lifuatiliwe zaidi ili kumfuta machozi mama huyu na watoto yatima aliyo na jukumu la kuwalea hapo nyumbani kwake.

Kuna mtu anajiita piga deel anatumia jina la Ridhiwani Kikwete kung'ang'ania nyumba ya Uchumi house nyumba ambayo ni ya mama mjane aliyeachiwa na mume wake.

Mama huyo amefanya kesi na Njake akamshinda mahakama kuu,baada ya rufaa mahakama ikaamuru mama apewe nyumba yake,lakini amejitokeza huyo piga deel ambaye alikuwa anatumiwa na Njake kukusanya kodi na kuzuia madalali mahakama kukabidhi nyumba hiyo kwa madai niya kwake huku akitamba hakuna mtu atakaye mueza kwakuwa yuko na Ridhiwani Kikwete.Kwa mimi binafsi naona anatumia tu jina la RZ1 kutishia.

Rz1 kama huyo mtu humfahamu jitokeze kukanusha na umchukulie hata sitahiki maana imekuwa kawaida kwa matapeli kutumia watoto wa viongozi kudhulumu.
 
Ni kampuni ya Mr Dhaifu na Manji.Jiulize uenyekiti wa yanga kuna biashara gani mpaka Riz afanye koloni.
 
Rais akimaliza muda wake anatakiwa kupumzika"hawezi kushitakiwa hata kama alipiga rushwa ama wizi!!Katiba mpya ipunguze madaraka na defence ya rais wastaafu!!maoni yetu sijui kama yoote yatafikiriwa na kuingizwa yote!!ngoja tusubiri
 
Back
Top Bottom