BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,015
Sidhani kama jina la fisadi Mkapa litakosa humu. Hii list ni bora waitangaze hadharani kwa kila nchi husika. Kwa nchi yetu list hii ikikabidhiwa kwa Takukuru DHAIFU basi hatutasikia lolote lile ndiyo itakuwa imekwenda na maji. Siku hizi nasikia mafisadi wa Serikali za Afrika hawapeleki tena pesa zao za wizi katika Banks za Uswisi bali wanapeleka South Africa.