Revealed: Tanzanian Thieves have Sh315bn in Swiss Banks!

Tunavyosonga mbele lazima kuna wakubwa watajiua. Kwa mtindo huu hata hayo mafuta yakipatikana hatutapata unafuu wowote.

Hatukunufaika na dhahabu, almasi na mengineyo kibao kwanini tuje tunufaike na mafuta?
 
What if he is among the "influential politicians"? Remember last post of his beloved Minister of Finance Amir Jamal?
Hivi Bwn zomba unataka kusema nini sijui, eti his last Minister of finance Amir Jamal au vipi please be clear on that!!!

 
Hivi Bwn zomba unataka kusema nini sijui, eti his last Minister of finance Amir Jamal au vipi please be clear on that!!!


Sijasema, nimeuliza au huoni alama za kuuliza? kama huna jibu waache wenye majibu watakuja jibu.
 
"Gun can't kill people,but people kill people" naona harufu ya damu kwa mbaliiiiiiii.
 
Watanzania Watanzania Watanzania mpo???. Mbona mnamwachia zito, mnyika, silaha na few others kuwapigania. Shime wote watanzania tuikomboe nchi yetu toka mikononi mwa mafisadi angalau kizazi chetu kijacho kione mwanga
 
well the only consolation i have is wakenya wametuzidi rushwa sisi watz..maana wao ndio wanaongoza kwa pesa zilizofichwa huko swiss kati ya nchi za africa...wenzetu wakenya walianza kuiba wakati wabongo bado wamelala..ila saizi naona tunakwenda nao sambamba..well almost
 
Kwa mtindo huu ina maana mikataba yote iliyopita na ijayo ya uchimbaji wa gesi na mafuta haitalinufaisha taifa hata chembe. Ni bora mafuta kama yako huko chini yasionekane kwa sasa.
 
Now mashabiki uchwara wa CCM wote hawapo kweenye hii thread, kukiwa na thread za maaana ndio kwanza kushadadia ujinga na udhaifu wao, kwenye thread kama hizi hawasemi kitu kabisa, nchi inaendeshwa nna mtu dhaifu sana
 
Kwa mtindo huu ina maana mikataba yote iliyopita na ijayo ya uchimbaji wa gesi na mafuta haitalinufaisha taifa hata chembe. Ni bora mafuta kama yako huko chini yasionekane kwa sasa.

Hela zote zitaenda huko mkuu wenyewe wanakaa kweye office waanakula tano tu, na wanaingia kwenye computer na kuhamisha hizo pesa
 
Angalia hizo serikali hapo juu!

Kwa hiyo!
Unataka kusema sikuziona! Au ukona mawazo mengine!
Tumia akili kufikiri.Kuwapo kwa Nchi zingine kwenye listi ya wezi hakuondolei wala kusafisha kuwa Serikali yetu si dhaifu labda kama wewe umoja wao!

Other countries whose nationals have stashed away wealth in Switzerland (in Swiss francs) include Kenya (818 million), Uganda (154 million), Egypt and South Africa (1.914 billion each), the Seychelles (2.515 million), Zimbabwe (96 million), Senegal (150 million), Rwanda (29 million), Sierra Leone (29 million), Somalia (1 million) and Sudan (796 million).
 
Jamani hili liccm ni janga la kitaifa twendeni tahariri squre haraka tudai haki zetu la sivyo watatumaliza hawa.
 
jamani hili liccm ni janga la kitaifa twendeni tahariri squire tudai haki zetu la sivyo wataimaliza nchi hii.
 
Back
Top Bottom