Revealed: Tanzanian Thieves have Sh315bn in Swiss Banks!

The Government can Claim the Money if the person who Deposited does not have a legit Business that's what happened

to Ibrahim Babangida, all those Nigerian Senator's who stole OIL Money, Shehu Shagari etc; In Swiss Bank if you do

not have a valid Transactions or you cannot name any of your business investment then they can withheld your

Bank Account and contact your Home Country; That's why it is very inashangaza kwanini yule Mhindi wa EPA aliyekimbia

Serikali haijaomba pesa zake zizuiliwe; ina Maana Serikali pia imecheza Mchezo Mchafu.
 
nashangaa wadau hawa comment,
Mkuu wadau watacoment nini hii habari inatisha!!!!! Sasa huyo mkuu wa PCCB si atafute majina ya hao corrupt victims, lakini ni wa kuhurumia maanake hata akipata majina hao ni untouchable!! PM alisema ukiwashika mafisadi nchi itayumba, kwani alikuwa na maana gani??? Hao ndio maghambas bwn, bora tuwekewe majina tujue wezi wetu ili huko baadae waweze kushughulikiwa na new regime not CCM kama Misri!!!!

 
Hata akiwajua atawafanya nini? Si walewale tu..Halafu kura ya kupitisha bajeti asilimia mia.Mh! Kazi kwelikweli.
 
si waziwekeze humu nchini angalau makabwela wapate ajira? Kwasababu wakuu wameamua kulifumbia macho, as if hakuna kilichotokea.
 
Nadhani hao wajamaa(swiss) ni maconman wamesikia kuna gesi na mafuta wakishasema hivyo jamaa wataogopa kuumbuka watasaini mikataba ya chiefu mangungo wa msovero faster
 
Ndoto ambazo hata Alinacha hakuwahi kuziota, comment yako imenikumbusha maneno yalopata nguvu enzi za Mwalimu Nyerere kama "kibaraka", nadhani u mmoja wa hao.

Wewe unasikiliza maneno ambayo kila mmoja wetu anajuwa yametoka kwenye ukoo ambao una tatizo sugu lisilorekebishika? Jamaa kawapatia kweli mnaomuona wa maana.
 
Hiyo pesa ikirudi Tanzania ielekezwe moja kwa moja kwenye vipaumbele vifuatavyo :
a) Kuongeza mishahara ya madaktari na walimu.
b) kuboresha shule na hospitali za serikali (Umma).

Chenji kidogo itakayobaki wampeleke Komba India akafanyiwe Gastric bypass surgery...hili ni wazo binafsi tu.
UMESAHAU NA VIPAUMBELE HIVI PIA......
1.Nauli za safari za rais.
2.Viburudisho wizarani.
 
The anti-graft czar further said, “People should stop laundering money to Swiss banks because they are no longer a safe haven as they used to be in the past.Things have changed so much that in today’s world, no matter how long it might take, in the end all the culprits would be known and arrested.”
Mimi sijamuelewa vizuri huyu Mkurugenzi wa PCCB ina maana waende kuweka hizo pesa kwenye bank nyingine kwa sababu Waswiss wameacha kulinda pesa za ufisadi
 
Please read the attachment to see what the hell is Tanzania leading while claiming the Government has no money with poor living standard, poor education infrastructure e.t.c.

Na huyu mla mizoga wetu PCCB, hii ilikuwa kazi yake anasubiri kuletewa mezani anaanza kubweka next week anaadika baurua kuomba details. What about details za akina Chenge amezifanyia nini????

So sad, wish he could mention the names! Africa inamalizwa na Waafrica wenyewe, mtu akipata madaraka anajua amepata utajiri, anatumia elimu na maarifa aliyonayo kuwaibia wale waliomchagua!!
 
Huyu Hosea nae kilaza tu, Si aanze na fimbo ya kalibu itakayo uwa nyoka?

1. Ameishia wapi na richimond

2. Ameishia wapi na akina Kagoda, Dep green, che Nkapa kule Kiwira coal Mine, Epa na hata Ngereja na yule katibu wake walochangisha na kuiba

3. Chenge yupo hapo hapo Darisalamu na kale kamradi ka Rada ya Taifa ushahidi upo wazi maana wamepokea fedha zilizorejeshwa kutoka Uk

4. Mbona twiga wamepelekwa zimebaki dana dana zinazoonesha kuishia kufunga vidagaa bila kuwakamata walotia saini dege la jeshi kuingia pale KIA liliingiaje kama sio rushwa na matumizi mabaya ya madaraka?


Hosea na UTakukuru wake ni kama fimbo ya ccm kuwahadaa watanzania inapoelemewa.

WATANZANIA WA LEO HAWADANGANYIKI KIRAHISI HIVYO ISIPOKUWA MABWEGE WACHACHE TULOBAKIANAO WAKIJIFANYA VILAZA WAKUTOJUWA UZEMBE, UDHAIFU NA UPUUZI WA CCM.

YETU MACHO NA MASIKIO TUONE NINI KITATOKEA KAMA SIO ULAJI MWINGINE KWA WATALII NA VIJIKAMATI VYAO.
 
Wewe unasikiliza maneno ambayo kila mmoja wetu anajuwa yametoka kwenye ukoo ambao una tatizo sugu lisilorekebishika? Jamaa kawapatia kweli mnaomuona wa maana.

I cry for my people...!!ni laana kwa namna yoyote kumtusi mzazi...!haina ubishi viongozi wa taifa hili km Nyerere ,Karume etc ni mfano wa wazazi wa taifa hili...Mungu akusamehe
 
kwa hiyo mlizipeleka huko il mzirudishe???

La hasha, unajuwa sana kuwa hakuna awamu inayoshughulikia ubadhirifu kama hii, wako waliozipeleka, wengi sana. Nakuhakikishia ukija kuwakuta na vigogo wa chadema wamo usione ajabu. Wizi walikuwepo na wapo wengi sana tu, mwizi hana chama wala alama usoni kuwa huyu ni mwizi.

Cha kusikitisha ni kuwa, kabla ya Kikwete hatujaona wakishughulikiwa ipasavyo, ni awamu hii tunaona kuna kesi zaidi ya 1,000 za rushwa Tanzania nzima (haijawahi kutokea kwa awamu zote) na bado zinakuja. Na sasa hivi tutaona wimbi lingine la kesi za Wilayani, Mashirika ya umma na ma wizara, kwani CAG sasa imeanza kufanyishwa kazi inavyotakikana. Ni mwanzo mzuri sana na matokeo tunayaona.
 
Na bado watu wetu hawana hasira!!! watakuja watu kujaribu kuhalalisha kwanini kufanya hivyo ni "modern banking" na kama mtu "ana fedha zake kwanini asiweke huko Uswisi"...
 
Sioni tofauti kati ya bil. hizo na zile za MoU ya kanisa na serikali???

Kama hiyo iliyoko ndani hawana uwezo na ujasiri wa kuuliza hizo za nje mmm!

walewale 87/13 a.k.a wasomi wa st. kanumba
 
Ni wangapi wameshakutwa na makosa kama hayo na wakarudisha?Wanaofatiliwa ni wale wadogowadogo wakati wahuska wakuu wanaa wanatamba tu mitaani.
Labda umoja wa mataifa wafatilie,sio Hosea dhaifu kwenye serikali dhaifu,inayoongozwa na Kikwete dhaifu na chama cha upumbavu cha CCM.
 
Haziwezi kudumu fikra za mwekiti wa ccm bila kwanza kueleza na kufafanua kwa ufasaha zitadumu kwa mantiki ipi na utartibu gani? kwa kuchukuwa hatua zipi? kwa wakati gani uliomuafaka na nini matokeo yake?

Kubwa zaidi watanzania wa leo ni tofauti na wale wa enzi za mwalimu, hawa wa leo wanahoji, wanadadisi, wanatest na wanataka ukweli mambo ya magumashi na kabobo hawayataki, wanataka vitendo sio ngojela za mbayuwai, upepo mbaya utapita nk inshort we are in the transformation period towards the fact of understanding our rights and demands these rights and be exercised by politicians for our benefits and the upcoming generation.


kama rais atakaa kimya bila kuchukua hatua za kulinda na kuendeleza mali za watanzania basi hatutamsema kwa sababu ya dini yake, kabila yake, rangi yake au anatoka kanda gani tutamtukana, tutamsimanga, tutamsema kwa maana yoyote ile kwa kushindwa kuchukua hatua.

Wanajamii tufahamu hivyo, Ras amekuwa na porojo mno badala ya vitendo na hiyo ndiyo sababu anashambuliwa, wala sio kwa sababu ya dini yake na walemnaopotosha kwamba nikwasababu ya dini yake, mnakosea sana maana mnaufaham ukweli isipokuwa mnaupindisha sijuwi ni kwa manufaa ya nani?

ufisadi ni mtoto wa serikali kwa kutoa malezi mabovu kwa watumishi wake, haijalishi kwa wakati huo/huu nani yuko madarakani(rais), lawama zote zitamwangukia kwa maana moja tu, Ndiye alpha na omega (has the fina decision and my president cannot exercute this as per facts)
 
Back
Top Bottom