rest in peace my daddy

Mc Tilly Chizenga

JF-Expert Member
Feb 7, 2012
4,641
3,675
wakuu!baba yangu mpendwa Mzee Chizenga amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu!1933-2012!upumzike kwa amani baba yangu!
 
Pole sana mkuu....
Mungu akupe faraja ktk kipindi hiki....
RIP Mzee wetu....
 
wakuu!baba yangu mpendwa Mzee Chizenga amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu!1933-2012!upumzike kwa amani baba yangu!

Pole sana mkuu, Mungu akupe faraja katika kipindi hiki kigumu.
Hujatupa updates zaidi, msiba uko wapi and what is the progress concerning the matter, I know that it might be much more a family matter that a JF matter, lakini ukitujuza sio mbaya.
 
Pole Mc Tilly. Mungu akupe nguvu na faraja ktk kipindi hiki kigumu. RIP Mzee Chizenga.
 
Mungu afute machozi na huzuni yako kwa msiba ulokufika, akupe nguvu kuu. Ampe marehemu raha ya milele na mwanga wa ufalme wake wa mbinguni Amen.
 
...ni jambo la huzuni sana...ila kazi yake Mungu haina makosa...pole sana Mc Tilly...

RIP MZEE WETU MPENDWA.
 
asanteni kwa kunifariji!msiba upo kinondoni muslim mle ndani,watasafirisha badaye leo kwenda Handeni,Tanga!mazishi yatakuwa kijijini alipozaliwa Mnola au kwake Kwabaya Anitakaye!mimi naenda huko kutokea arusha nilipo!
 
The man had a Lion's heart!fighting against death for years after suffered stroke almost a decade ago!R.I.P Great Man!
 
Back
Top Bottom