rest in peace my daddy

Pole sana mkuu, kila nafsi itaonja mauti ametangulia na sisi tutafuata..
 
sisi ni mavumbi na mavumbini 2tarudi,lihidimiwe jana la Bwana.pole ndungu.ulale pema baba
 
RIP mzee Chizenga. Mc Tilly hope Mungu wetu mkuu atakuwekea mkono wa amani ndani ya roho yako, Pole sana kaka
 
wakuu,tulishazika j3,jana nikaja dar,kesho nitaenda tena handeni kukamilisha taratibu,ijumaa nitarudi arusha,j2 nitaenda mbeya!
 
wakuu,tulishazika j3,jana nikaja dar,kesho nitaenda tena handeni kukamilisha taratibu,ijumaa nitarudi arusha,j2 nitaenda mbeya!
 
wakuu!baba yangu mpendwa Mzee Chizenga amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu!1933-2012!upumzike kwa amani baba yangu!

Angalia Baba wa mbinguni alikupa zawadi ya baba na sasa ameamua kuchukua alichokupa! Hakika ni wakati mgumu kwako wewe na familia nzima! Mungu awape nguvu ya kuvumilia msiba huu mzito.
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE. APUMZIKE KWA AMANI -AMINA
 
Back
Top Bottom