rest in peace my daddy

Kaka Tilly, MUNGU awafariji. Poleni sana kwa msiba na awatangulie katika safari yenu ya kumpumzisha mpendwa wetu.
 
pole sana Mc Tilly. Mzee wako amekuwa na nguvu kuishi kwa miaka yote hii, hii ni faraja sana. Tunaamini Mungu atawatia nguvu katika kipindi hiki kigumu.
 
nawashukuru wote kwa mara nyingine!mwili wa marehemu baba yangu Dk S.H.D Chizenga unasafirishwa usiku huu toka dar kwenda kijijini Kwabaya,Chanika wilayani Handeni mkoa wa Tanga kwa ajili ya mapumziko yake ya milele kesho saa 7 mchana
 
Nakutakieni safari njema. Mungu awe nanyi ktk safari na pia asimamie shughuli nzima ya maziko ya Mzee Chizenga. May his soul rest in eternal peace, Amen.
 
Sympathy%20Card%20-%20His%20Journey's%20Just%20Begun.jpg

With my deepest sympathy
 
Pole sana Mkuu MC Tilly.
Sisi kama binadamu tutaongea mengi lakini Mungu ndiye mwenye ufariji ufaao!
Roho ya marhum ipumzike panapo pepo njema!
awesome%20god.jpg
 
dah!! POle sana mkuu, May God give you strength as you are passing this hard period....
 
May he rest in eternal peace na Mungu wetu awajali faraja katika kipindi hiki kigumu!
 
Back
Top Bottom