Jamani nataka kujenga kanyumba kangu ka room 4 ama 5 hivi.
Najaribu kutafuta ramani kwenye google lakini nashindwa kupata.
Naomba msaada jinsi ya kupata ramani za nyumba kwa kuzingatia.
-Garden
-Parking
-Internal room arrangement, bedrooms, sitting room, dining, kitchen, store, library.
-Roofing, modern roofing design attractive.
Sio kujenga nyumba za kucopy na kupaste jamani.
Wananchi naomba ushauri na msaada wenu