Republical wafikiria kumuomba Trump agombee nafasi ya Spika wa Bunge la Marekani

PakiJinja

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
7,646
15,751
Baada ya aliyekua Spika wa bunge (House) la Marekani kuondolewa, Wabunge wa Bunge la Marekani, ambalo wabunge (Representatives) wake wengi ni kutoka Chama cha Republican, wamependekeza waongee na Donald Trump aweze kuwa Spika wa bunge hilio.
Wabunge hao waliweza kufikisha ombi hilo kwa Trump amnapo Trump amekubali ombi hili lakini under condition kuwa ataongoza kwa muda tu, kwani yeye yupo kwenye maandalizi ya kugombea urais wa Marekani.
Republican wamefikia hatua hiyo baada ya kukubaliana kwamba chama hicho kinamhitaji sana Trump na ndiye anayeweza kuwaunganisha, kwani kwasasa ni kama wamekosa umoja.
Mpaka sasa, maoni yanaonyesha Trump ndiye anaongoza kuwa atashinda kiti cha nafasi ya urais, huku akifuatiwa na Joe Biden.
Trump na Joe ni wapinzani wrnye mfanano ndani ya US. Kirika wanafanana, japo Joe Biden ni mkubwa kiumri, pia wote wawili hawakuwahi kutumia vilevi.
 
Na mtoto wa Cheney alietia fitna ya kuondolewa spika ili yeye ndie awe spika itakuwaje sasa?.
Asubiri Trump akiondoka, maana Trump amesema hatakaa sana, atachukua kwa ajili ya kukileta pamoja chama kwablengo la kukionganisha halafu ataachia na kwenda kugombea urais.
 
Wakati wa Urais wa Trump Dunia ilijaa amani

Dunia imejaa wanafiki ndio sababu wasio wanafiki wanachukiwa
 
Back
Top Bottom