Bunge la Marekani lamuondoa spika madarakani

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,620
46,260
Bunge la Marekani kwa wingi wa kura za Democrats na Republicans limemuondoa madarakani spika wake kutoka chama cha Republican, Kevin McCarthy.

Hii inakuwa mara ya kwanza kwa spika wa bunge la Marekani (House of Representatives) kuondolewa na wabunge wenzake, pia imemfanya McCarthy kuwa mmojawapo wa maspika waliohudumu kwa kipindi kifupi sana tangu mwaka 1876.
 
Yule Mnubi wetu yeye ni chawa wa serikali na mtetea uovu anadunda tu
 
Back
Top Bottom