Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,843
Yaani kweli kitu ya almost 8 years mnasema ni mpya jamani. Kabla member hujaanza kuchangia check kwanza date ya event kama ya Obama ambaye hata hasimu wake Marekani na Uingereza hawana hakika kama yu hai au alishakufa!!!! Ila Osama Bin Laden ni kiboko!!!! Kama yuko hai na hajaweza kukamatwa hadi leo leaving apart donge nono lililotolewa na marekani basi huyu ndiye naughty boy wao!!!