Al Qaeda mlengo wa Yemen wapoteza mkuu wao

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,670
48,442
Al Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP) announced the death of its leader, Khalid bin Umar Batarfi, in a statement on Sunday, the Site Intelligence Group said.

AQAP did not give a reason for his death, according to Site.

It named Sa'd bin 'Atef al-Awlaki as his successor, Site added.
 
Kafiri bado upo? Utapa presha maaana uislam unaingia kwa kasi ktk nchi ambazo wakiristo wapo wengi
 
Al Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP) announced the death of its leader, Khalid bin Umar Batarfi, in a statement on Sunday, the Site Intelligence Group said.

AQAP did not give a reason for his death, according to Site.

It named Sa'd bin 'Atef al-Awlaki as his successor, Site added.

Waabudu wa kweli watamwabudu baba....

“…. waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli, kwa maana hao ndio aina ya waabuduo Baba anawatafuta. Mungu ni roho, na wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”
( Yohana 4:23,24 )- Bible Gateway

Yesu alionyesha waziwazi kwamba Waabudu “WA KWELI” wangekuwa wale waliomwabudu Baba yake aliye mbinguni.

Ni nini kitatokea kwa wale wanaomwabudu YESU ????????

Mathayo 7

21 “Si kila mtu anayeniambia, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa mbinguni, bali ni yule tu anayefanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

22 Wengi wataniambia siku hiyo, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii kwa jina lako na kwa jina lako kutoa pepo na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?’

23 Ndipo nitawaambia waziwazi, ‘Sikuwajua ninyi kamwe. Ondokeni kwangu, enyi watenda maovu!’

kwa hivyo Ndugu na dada Wakristo, Mwabuduni Baba na sio Yesu!
 
Al Qaeda in the Arabian Peninsula (AQAP) announced the death of its leader, Khalid bin Umar Batarfi, in a statement on Sunday, the Site Intelligence Group said.

AQAP did not give a reason for his death, according to Site.

It named Sa'd bin 'Atef al-Awlaki as his successor, Site added.

M23 wanaharaaaa baada kupata kichapo cha mbwa koko
 
Waabudu wa kweli watamwabudu baba....

“…. waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli, kwa maana hao ndio aina ya waabuduo Baba anawatafuta. Mungu ni roho, na wamwabuduo imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”
( Yohana 4:23,24 )- Bible Gateway

Yesu alionyesha waziwazi kwamba Waabudu “WA KWELI” wangekuwa wale waliomwabudu Baba yake aliye mbinguni.

Ni nini kitatokea kwa wale wanaomwabudu YESU ????????

Mathayo 7

21 “Si kila mtu anayeniambia, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa mbinguni, bali ni yule tu anayefanya mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.

22 Wengi wataniambia siku hiyo, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii kwa jina lako na kwa jina lako kutoa pepo na kwa jina lako kufanya miujiza mingi?’

23 Ndipo nitawaambia waziwazi, ‘Sikuwajua ninyi kamwe. Ondokeni kwangu, enyi watenda maovu!’

kwa hivyo Ndugu na dada Wakristo, Mwabudu Baba na sio Yesu!
Inahusiana vipi na gaidi aliekufa hapo.juu?
 
Hizi ndo mada huwa nazipenda.. habari sheikh? Sasa mbona unaanzisha huniiti?
 
Makafir ndo wanaendesha dunia. Na waisilamu wanakimbilia nchi za kikafir kutafuta amani. Hapo ndo huwa nashangaa sana.

Makafiri wanakimbilia nchi za kiislamu hata wakifukuzwa hawataki kutoka, Zanzibar wamejaa na mabunduki yao
 
Nchi zipi hizo? Vagina upo? Haujambo? Hii mijadala uwe unaniita. Niwe napata muda wa kuwafungua watu akili.

Mchungaji wako alikufundisha kutukana watu , hulaumiki

mmejazana hapa zanzibar na mabundukl yenu hamtaki kuondoka
 
mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, UNATAKA KUNYWA MVINYO? Mtume Muhammad akasema: NDIO. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete MVINYO ULIO MKALI ILI NINYWE; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule MVINYO MKALI ALILEWA

MTUME MUHAMMAD ALIKUWA AMEROGWAPia, kwa mujibu wa Sahih Bukhari juzuu ya 4, Kitabu cha 54, Hadithi namba 490 na Sahih Bukhari, juzuu ya 7, kitabu cha 71, hadithi namba 658; Muhammad alirogwa na akazurika na uchawi. Kisa cha mtume kurogwa na kuzurika na uchawi pia kinasimuliwa katika quran Tafsiri ya Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy ukurasa wa 977 na 978.

MASWALI: (a) Ikiwa uchawi ni ukafiri, Kuna uhusiano gani kati ya Allah na ukafiri mpaka atelemshe uchawi?
(b)Mtume Muhammad alirogwa na wachawi wa kiislam au wachawi wengine?
(c) Mtume Muhammad alirogwa na uchawi ulioteremshwa na malaika wa Allah au uchawi mwingine?
(d) Mtume au nabii gani mwingine alirogwa na akaathirika na uchawi?

Kama Muhamamd alikuwa Mtume wa Mungu, mbona tabia zake ni za kishetani
 
Back
Top Bottom