wamavoko nimesikia xmaster server ferari software imeshapatikana.
Kwa wale ambao mnatumia IKS/SKS decoders mbali mbali na kwa sasa haifanyi kazi tena wakati ya mwenzako inafanya kazi basi ujue hicho kifaa chako kime-expire hivo basi kama ulikuwa umekitupa Uvunguni mwa kitanda kichomoe na mtfute njunwa wamavoko akuuzie IKS account.
where by;
IKS=Internet key sharing
SKS=Sattelite key sharing
Na kama wewe ulinunua Azsky G6 ambayo imeingia sokoni mwez August 2013 na kipindi inatengenezwa iliwekewa account ya miezi sita basi chukua contacts zangu mapema sana maana muda wake wa kuwekea account umetimia na itafanyika Pindi tu utakapoona imeacha kufanya kazi wakati ya mwenzako inafanya kazi usiogope wala kuitupa uvunguni mwa kitanda bali ujue ndo mda umefika wa kunitafuta kurenew account yako.
Qsat series zote hamna ambayo ime-expire wala hamna inayokaribia expire sababu inakuja na account ya mwaka mzima
Vitu utakavyotakiwa kuzingatia ni Hivi
- Kwanza kabisa hakikisha unajua serial number ya Dongle/decoder yako maana kuna decoder iliuziwekee account lazima ujue serial number na sio aina tu ya kifaa,kwenye picha hapa chini naonesha mifano ya serial number(S/N) na inabidi kuangalia hizo alama za kubwa kuliko au ndogo kuliko kujua serial number ya decoder yako inafall under which category
- Pia utaitaji Desktop/laptop iliyo connected kwenye Internet ilikuweza ku-upload account ktk kifaa chako,laptop inaitajika sababu hizi IKS account zinakuwa loaded kwa kutumia software ambayo ntaionesha hapa kwenye picha na lazima uwe umechomeka RS-232 cable ktk Desktop yako,Desktop ni nzuri zaidi kwa hili maana ina meno ya hii cable RS-232 iliyokuja na dongle nyingi kipindi cha kununuliwa
- Ni muhimu kuzingatia kuwa usiload account wakati haija-expire ile iliyokuja na kifaa ni muhimu kuwauliza wenzako kama wanapata connection na vifaa vyao,iwapo wanapata basi ujue chako kimeisha mda pia indicaion kujua kama kuna tatizo na account yako hakikisha Line umeweka vizuri afu angalia rangi za kifaa chako iwapo ziko nyekundu ujue ni indication mojawapo kuwa account yake ime-expire
- Sokoni ziko account za miezi mitatu na sita lkn mm ntakuuzieni account za miezi sita tu kwa bei ya 40,000/- ,ukilipa hii hela utaendelea kuburudisha familia yako na TV channels kede kede mpaka hiyo miezi sita iishe tena
- Kama unataka kujifunza ku-load hizi account kwa watu wengine ntakufundisha utanipigia tuongee biashara
Contacts
- Tigo pesa no +255657209956
- Skype account; victornjunwa1
N:B; KAMA HAUJUI LUGHA ILIYTUMIKA HAPA AU HAUKUELEWA HIVI VIFAA VINATUMIKA KUFANYA NN USISITE KUULIZA WAWEZA KUNITUMIA PM NTAKUPA MAELEZO KWA KINA
Niaje means WA jamvini mm ninataka ya azsky g6 VP unayo?
Naona kama expiry date bdo since jana ilianza kuonyesha tena baada kupotea kwa siku kama tani hivi..hebu nifahamishe mkuu kuangalia expiry date kwa azsky tunafanyaje?Umeangalia expiry date ya AZSKY G6 Yako?
Naona kama expiry date bdo since jana ilianza kuonyesha tena baada kupotea kwa siku kama tani hivi..hebu nifahamishe mkuu kuangalia expiry date kwa azsky tunafanyaje?
duhh hapo ndipo changamoto inapoanza xoo RS232 cable ni ya kununua cyo maana hyo mm cna.nway nitashukuru kama ukiweza nipa maelezo kwa kina nami nihangaika na kukujua hali ilivyo then tutajua cha kufanya kama muda wa kingamuzi umekwisha au unakaribia kuisha.kwa mara ingine nashukuru kwa maelezo ako mkuuNaandaa maelezokuna S/w wametoa unaweza kujua expiry date
Lkn ni ya kwenye pc na lazima uwe ume connect Rs 232 kutoka desktop kuja AZSKY yako
duhh hapo ndipo changamoto inapoanza xoo RS232 cable ni ya kununua cyo maana hyo mm cna.nway nitashukuru kama ukiweza nipa maelezo kwa kina nami nihangaika na kukujua hali ilivyo then tutajua cha kufanya kama muda wa kingamuzi umekwisha au unakaribia kuisha.kwa mara ingine nashukuru kwa maelezo ako mkuu
wamavoko nimesikia xmaster server ferari software imeshapatikana.
Changamoto iliyopo nikupata RS 232 yenye 9 pin female to female tena anza kuiulizia mapema vinginevyo process ya kurenew inaweza kukugharimu kuibeba na kumpelekea mtu aku activetie wakati ungemaliza mwenyewe nyumbani...
AZSKY G6 Zote haziji na RS 232 isipokua AZSKY G1-G3 hivo kama una mtu anayo g1 na G1+,g2 basi ujue unaweza kuazima
Changamoto iliyopo nikupata RS 232 yenye 9 pin female to female tena anza kuiulizia mapema vinginevyo process ya kurenew inaweza kukugharimu kuibeba na kumpelekea mtu aku activetie wakati ungemaliza mwenyewe nyumbani...
AZSKY G6 Zote haziji na RS 232 isipokua AZSKY G1-G3 hivo kama una mtu anayo g1 na G1+,g2 basi ujue unaweza kuazima
basii tena kaka kazi imekwishaa maana mm ninayo AZSKY G6
hawk he 7777 classic digital satellite receiver. vipi ndo zimebuma au kuna maujanja yanaweza kufanyika mzigo ukarudi hewani?
Itabidi tuongee vizuri hapa... Una maana gani kusema Xmaster kuwa converted to QSAT AvaterCamHD? ina tofauti gani na ile ya m2n ya kulipia sh 80,000?
Xmaster ferrari
server can now be converted to QSAT avartacamHD account,the most stable
Cam account and opening many channels than any cam acc had done b4
Kaka kazi kwako xmaster ferrari kwenda avartacamhd acc bei yake ya offer
nakuuzia kwa 70,000/=
wale wa mwanza city kama unataka ku-update account ya azsky g6 ila umekosa waya nitafute ndebile nitakufanyia bureeee!
​mjumbee azsky imepgwa tko na kaburu wa dstv....azsky zimebumaa kabisaaa......
Mkuu saidia hii x.master nipo dar haioneshi Hii vipi tena?