Renew your Azsky G2, G1, G1+, G6, Qsat series and other IKS/SKS decoders/Dongles here

Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,746
2,340
UTAMBULISHO
Mm njunwa wamavoko natoa huduma nzuri kwa kuweka uaminifu mbele bila kujuana na mtu na huduma zangu za ku renew receiver ntazifanya kwa simu i.e remotely nataka wateja mlielewe hilo kutokea mwanzo na kama hauwezi kuweka account mwenyewe utaniletea receiver yako na utaifata siku inayofata.Hii yote ni kwa sababu za kiusalama zangu mm

Kuhusu IKS accounts na receivers
Kwa wale ambao mnatumia IKS/SKS decoders mbali mbali na kwa sasa haifanyi kazi tena wakati ya mwenzako inafanya kazi basi ujue hicho kifaa chako kime-expire hivo basi kama ulikuwa umekitupa Uvunguni mwa kitanda kichomoe na mtfute njunwa wamavoko akuuzie IKS account.
Na kama unatumia Qsat,Xmaster,Xman G8 na haioneshi channel unazozipenda basi hii thread ni yako

Kama wewe unataka Hii receiver basi tembelea hapa https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/517119-jipatie-dstv-kwa-kutumia-azsky-dongles-2.html

where by;
IKS=Internet key sharing
SKS=Sattelite key sharing

WATUMIAJI WA AZSKY G6 Kwa TV1 CCcam
Kama wewe ni mtumiaji wa Azsky G6 na imeacha kuonesha tokea mwezi wa Tatu basi inabidi kuweka Software mpya itakayokuwezsha kutumia CCcam katika hiyo AZSKY G6 yako Na itaanza kuonesha mara hiyo hiyo kwa kutumia server mpya kabisa ya kuaminika tokea 2012.Utaona channel karibia 170 za DSTV zikiwe Mnet,Africa magic,Swahili,Citizen na juu ya yote utapata Super sports zote na utafaidi maisha kama umelipia premium vile
Iwapo hautoitaji ku renew account kwa kutumia CCcam basi utatumia utaratibu ule sawa na wale wa AZSKY G1,G2 na G3
Kwa maelezo zaidi tembele tovuti yangu kuona hatua za Kufata http://njunwaservices.blogspot.fr/2015/03/how-to-upgrade-azsky-g6-and-use-cccam.html

Kama hautaki CCcam tembelea hapa http://njunwaservices.com/azsky-recharge-tools-and-recharge-process/

KWA WATUMIAJI WA QSAT,XMASTER na XMAN G8
Utaratibu wa Kuingiza account kwa hizi receiver tajwa hapa kwenye kichwa cha habari utakua kama ifatavyo
1.Iwapo unakamata Nilesat na Hotbird na unataka kuona scrambled channel basi utalipia DQCAM 25,000/= kwa mwaka
2.Iwapo unataka DSTV kupitia AcamHD 80,000/= kwa account ya mwaka
3.Iwapo utataka DSTV kupitia CCcam utalipa 55,000/= kwa miezi 3
Hot sale and stable TV1 CCcam ni 75,000/= kwa miezi 6 [recommended]
4.Iwapo utataka IPTV=TV za kustream(e.gBein sports 1-15) kwa kutumia Internet basi utalipia DQIPTV 25,000/= kwa mwaka
5.Account za jumla za CCcam kuanzia tano utazipata kwa 45,000/= zikiwa na Free more 4-7days

NOTE: Kuhusu TV1 CCcam huko najiamini kabisa kuhusu updates na customer support maana na deal directly na Server owners(sinunui acct kwa wachina maana wale ni madalali tu ndo maana bei zao ni kubwa 35$),Kama hauamini nunua CCcam acct kwangu afu omba Login logs za acct yako na hii ni iwapo una mashaka acct yako inatumiwa na mtu mwingine au hata ukipenda kubadilishiwa password ya account yako ntakufanyia hivo...
CCcam yako kama haifanyi kazi kwa errors zozote zitakazo jitokeza maybe kufutwa katika client list ntakupatia acct yako mpya bila malipo ya ziada na huduma hii utaipata kwa njunwa wamavoko pekee.
We thank God TV1 CCcam is in the hands of our fellow Africans

N:B Kama wewe ni mpenzi wa TV na Teknolojia kama mimi basi unaweza kuweka Account zote nne nilizotaja hapo juu au kwa maneno mengine unaweza kuweka subscrption zaidi ya moja kulingana na matumizi yako
Kwa kuingiza CCcam tumia njia rahisi ambayo hautoipata kokote isipokua kwa njunwaservices tembelea http://njunwaservices.com/how-to-use-your-tv1-cccam-server-in-qsat/

Bestcam CCcam
Here comes another Best CCcam server for dst> 36E
This server is very awesome server on the fact that even on a public test line server remains super stable
Bestcam server team uses new tweaked algorithm which has been bought at very high cost from irdeto2 engineers

Bestcam CCcam account 3months cost 55,000/=
Bestcam CCcam server account 6month cost is 80,000/=

78405d6aa6cb657c0428c89488288c92.jpg


WATUMIAJI WA RECEIVER NYINGINE
Kama unatumia receiver nyingine zenye uwezo wa Kuweka CCcam basi tuwasiliane
Baadhi ya receiver zenye uwezo kama huo ni
1.Dreambox
2.strong decoders e.g srt 49_ _ srt 4922 etc
3.Speed hd s1
4.Openbox,Skybox na nyinginezo zenye majina kama hayo



uAdJcL.png


Kuhusu A1 CCcam server
Hii ni server mpya sokoni na wame haidi kuweka DSTV na Canalsat(french channels)
Hii server mm ntaiuza but sio recommended ntawauzia kwa wanaoitaji na wanaoipenda maana Test imetolewa na watu wameijaribu watakao ipenda itakua inapatikana kwa hizi Bei zifuatazo

1yr A1 CCcam 90,000/=

6months A1 CCcam ni 60,000/=

View attachment 209004



WATUMIAJI WA G1 na G2 na G6

Tembelea:http://njunwaservices.com/azsky-recharge-tools-and-recharge-process/

Vitu utakavyotakiwa kuzingatia ni Hivi



  • Kwanza kabisa hakikisha unajua serial number ya Dongle/decoder yako maana kuna decoder iliuziwekee account lazima ujue serial number na sio aina tu ya kifaa,kwenye picha hapa chini naonesha mifano ya serial number(S/N) na inabidi kuangalia hizo alama za kubwa kuliko au ndogo kuliko kujua serial number ya decoder yako inafall under which category

    u02q.png
  • Pia utaitaji Desktop/laptop iliyo connected kwenye Internet ilikuweza ku-upload account ktk kifaa chako,laptop inaitajika sababu hizi IKS account zinakuwa loaded kwa kutumia software ambayo ntaionesha hapa kwenye picha na lazima uwe umechomeka RS-232 cable ktk Desktop yako,Desktop ni nzuri zaidi kwa hili maana ina meno ya hii cable RS-232 iliyokuja na dongle nyingi kipindi cha kununuliwa

    RDPOsx.png
  • Ni muhimu kuzingatia kuwa usiload account wakati haija-expire ile iliyokuja na kifaa ni muhimu kuwauliza wenzako kama wanapata connection na vifaa vyao,iwapo wanapata basi ujue chako kimeisha mda pia indicaion kujua kama kuna tatizo na account yako hakikisha Line umeweka vizuri afu angalia rangi za kifaa chako iwapo ziko nyekundu ujue ni indication mojawapo kuwa account yake ime-expire
  • Sokoni ziko account za miezi sita ntawauzieni kwa bei ya 35,000/- ,ukilipa hii hela utaendelea kuburudisha familia yako na TV channels kede kede mpaka hiyo miezi sita iishe tena
  • Kama unataka kujifunza ku-load hizi account kwa watu wengine ntakufundisha utanipigia tuongee biashara


GENERALLY

0.BestcamHD CCcam 3months dstv 55,000/={very stable server than tv1}
1.TV1 CCcam 3 months 55,000/=
2.TV1 CCcam 6month 75,000/=
3.AcamHD 6month 45,000/=
4.DQCAM 1yr 25,000/=
5.DQIPTV 1yr 25,000/=
6.CCcam bulk buying 45,000/= per each 3month acc(MOQ 5pcs)
7.AZSKY Non OLD accounts 35,000/=


Contacts


Kwa maelezo zaidi
http://njunwaservices.blogspot.fr/search/label/Card Sharing

N:B; KAMA HAUJUI LUGHA ILIYTUMIKA HAPA AU HAUKUELEWA HIVI VIFAA VINATUMIKA KUFANYA NN USISITE KUULIZA WAWEZA KUNITUMIA PM NTAKUPA MAELEZO KWA KINA

 
hawk he 7777 classic digital satellite receiver. vipi ndo zimebuma au kuna maujanja yanaweza kufanyika mzigo ukarudi hewani?
 
hawk he 7777 classic digital satellite receiver. vipi ndo zimebuma au kuna maujanja yanaweza kufanyika mzigo ukarudi hewani?

Siku zote unaponunua hizi receiver na ukitaka kuzi enjoy muulize muuzaji wako je hii receiver unayoniuzia inafanyiwa software upgrade na je issuing company inawapatia hizo software wateja wake?

Usipopata majibu juu ya hilo bora usinunue lkn all in all kampuni iliyobaki ni ya kuaminika ni Azsky ambao wametoa account mpaka sasa kwa wateja wao
 
Siku zote
unaponunua hizi receiver na ukitaka kuzi enjoy muulize muuzaji wako je
hii receiver unayoniuzia inafanyiwa software upgrade na je issuing
company inawapatia hizo software wateja wake?

Usipopata majibu juu ya hilo bora usinunue lkn all in all kampuni
iliyobaki ni ya kuaminika ni Azsky ambao wametoa account mpaka sasa kwa
wateja wao

nimekusoma mkuu nitamuulizia jamaa alieniuzia. pamoja sana
 
Ok,
Nikitaka New/Full installation ya hii kitu ni bei gani?
 
Kwa wale mnaotaka hizi receiver waweza nipigia au kutuna pm tuongee nilikuwa nazo 20pcs lkn naona ziko tatu tu zimebookiwa
 
mkuu nina x-master hapa ina wiki ya pili sasa haifanyi kazi, account yangu ina siku 218, signa ziko safi.
tatizo nini mkuu? msaada wa kitaalamu mkuu
 
mkuu nina x-master hapa ina wiki ya pili sasa haifanyi kazi, account yangu ina siku 218, signa ziko safi.
tatizo nini mkuu? msaada wa kitaalamu mkuu

Sema upo mkoa gani?
Unatumia software version gani?

Maana wametoa latest version kwa sasa
Nipe majibu nikufanyie mpango uipate
 
niko iringa mkuu. software version ni ile iliyokuja na hii decoder ya kwanza kabisa. na kuna jamaa yangu anayo decoder kama yangu. yeye kaugrade sasa hivi inapiga kazi. naomba ni fanyie mpango nami wa hiyo software.
Sema upo mkoa gani?
Unatumia software version gani?

Maana wametoa latest version kwa sasa
Nipe majibu nikufanyie mpango uipate
 
niko iringa mkuu. software version ni ile iliyokuja na hii decoder ya kwanza kabisa. na kuna jamaa yangu anayo decoder kama yangu. yeye kaugrade sasa hivi inapiga kazi. naomba ni fanyie mpango nami wa hiyo software.

Ni PM email yako nikuforwadie email
 
Mm pia Nina x .master lkn huu mwezi haifanyi kazi na siku zipo 238 Je unaweza kunitumia hiyo upgrade?
 
Mkuu vipi kuhusu hizi Q15G kwenye HD channel hazifungui, unayo rom yake?

ROM iko lakini tatizo hizo za HD hazifunguki mpaka tatizo litakapo solviwa na hizi kampuni
Hivo we endelea kutumia hizo SD mpaka HD zitakapofanyiwa ufumbuzi na usitegemee ROM ikupe hizo HD
 
Back
Top Bottom