Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

Mwl.RCT

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
13,573
18,598
Sina shaka na huduma za kitaalamu za Mwl.RCT. He is best compared to others. Maana nilinunua king'amuzi cha Best HD4U kwa mtu flani hata kujua account imebakiza muda gani alininyima elimu hiyo. Choose Mwl.RCT for best service trust me.
Jipatie Digital MPEG4, Full HD (1080p) Decorder - Zenye uwezo wa kufungua Local FTA Channel & PAY_TV - Bila malipo ya Kila Mwezi
Aina za MPEG4 Full HD Decorder zilizopo :

coollogo_com_790813.png

KUHUSU QSAT Q28G - KWA UFUPI

1. Ni MPEG4/Full HD, DVB-S2 & T2 Combo, GPRS/3G - IKS Receiver hivyo utatumia Satellite Dish na Antena ya Kawaida (Angalia Picha hapo Chini)

edited1.jpg

2. Ina account ya miezi sita-inayofungua Eutelsat 36E, Pamoja na canalsat 22w

3. Yaweza kutumika kwa account zifuatazo: Spycam (Default Account), AvatarCam, CCcam, NewCam & DqIPTV

4. Ina Edit BISS KEY - Hivyo waweza kuzipata channel kama: Bein Sport 1HD,Bein Sport 2 HD,M6 HD,W9, BFM TV ,EQUIDA PRO & HUSTLER (adult Channel) ambazo utazipata Eutelsat 7A at 7° East

5. Utumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel na Tv channel zingine kwa kutumia antena ya kawaida

antena.jpg

6. IPTV Channel- Utapata Channel zaidi ya 300,Hapa inatakiwa internet ya 3G,

7. Weza unga internet katika QSAT Q28G kwa kutumia (i) 3G NERTWORK (ii) LAN INTERNET (iii) GPRS. (iv) WIFI NERTWORK [ Inatakiwa uwe na wireless adapter]

8. Waweza kutembelea site kama YOUTUBE, REDTUBE, YOUPORN kwa kutumia receiver hii.

edited3.jpg

UPATIKANAJI WA QSAT Q28G

  • NI TSH 266'000 TU
  • KAMA UPO MKOANI NA HUNA NDUGU, JAMAA, AU RAFIKI HAPA DAR - BASI UTATUMIWA KWA NJIA YA BASI NA UTALIPIA TSH 10'000 TU
coollogo_com_29692313.png




post1.jpg

QSAT Q26G[SUP]New!![/SUP] TSH 250'000/-

>> Ni MPEG4, Full HD, DVB-S2, GPRS/3G - IKS Digital Satellite Receiver

>> Ina account ya miezi sita "SPYCAM" -inayofungua Eutelsat 36E |Channel Line-up |, Pamoja na canalsat 22w | Channel Line-up |

>> Pia unauwezo wa kuweka account yeyote ya cccam mfano: TV1 CCcam, A1 Cccam etc

>> Waweza itumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel Zote hapa Amos 5 17.0°E|Free TV from Tanzania - LyngSat |Ikiwa ni pamoja na CHANNEL TEN, TBC1, CLOUDS TV, STARTV, EMANUEL TV, Capital TV, EATV, ITV n.k

>> Utapata IPTV Channel [ inatakiwa internet ya 3G ]
q26jfready.jpg

BEST HD4U - TSH 260'000
>> Ina account ya mwaka mmoja ya TV1 CCcam [Server 1] inayofungua Channel za DSTV Eutelsat 36E |Channel Line-up |

>> Ina account ya mwaka mmoja ya ZAP CCcam [Server 2] inayofungua Channel za ZAP EutelSat 35.9E |Channel Line-up |

>> Server mbili tofauti zinakuhakikishia kuwa "ON Air" muda wote.

>> Utapewa BURE 3G HUAWEI MODEM

>> Waweza itumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel Zote hapa Amos 5 17.0°E|Free TV from Tanzania - LyngSat |
hos93ek9luu23njso0wj.jpg

ALL IN ONE - TSH 260'000 A-ONE AONE HD GPRS DVB-S2 Satellite Receiver
>> one year free account for:

>> 36.0E Eutelsat 36B

>> 68.5E Intelsat20

>> 22.0W SES-4

>> Suppport cccam, newcam etc

>> Support IPTV


m_SAM_0216.jpg




QSAT Q23G TSH 230'000 >> QSAT Q23G ni receiver ya mpeg 4 HD

>> Ina account ya mwaka mmoja AVATACAM HD - Eutelsat 36E |Channel Line-up |

>> Waweza itumia kama FTA receiver hivyo ukapata Local Channel Zote hapa Amos 5 17.0°E|Free TV from Tanzania - LyngSat |

>> Utapata IPTV zaidi 150 ikiwemo

plvtewhdbhnb95c70hm7.jpg


SPEED HD S1 TSH 230'000
>> Inakuja ikiwa na account ya canalsat 22w | Channel Line-up | ya mwaka mmoja bure

>> Waweza kuweka Account zingine uzipendazo kama avatacamhd, tv1 cccam au a1star cccam.

Speed_1.jpg



BEI YA HIZI MPEG4 DECORDER:
1. QSAT Q23G @ TSH 230'000 T
2. QSAT Q26G[SUP]New[/SUP]TSH 250'000
3. SPEED HD S1 @ TSH 230'000
4. BEST HD4U - TSH 260'000
5. ALL IN ONE - TSH 260'000

JINSI YA KUPATA DECORDER HIZI:
1. Pay & Pick on Spot - Kwa wakazi wa Dar Es Salaam &
2. Wale wa mikoani utatumiwa kwa njia ya basi na utalipia zaidi TSH 10'000 ya kusafirishia

SIFA ZA JUMLA ZA HIZI Mpeg4 Full HD (1080) Digita Satellite Receivers

  1. Zinakuwezesha kufulahia channel zaidi ya channel 300 bure ikiwa hii ikiwa ni pamoja na Channel za Soka, Filamu, Documentary, Habari, Muziki, Filamu za Kihindi na bila kusahau channel za katuni kwa watoto.
  2. Weza unga internet kwa kutumia (1) 3G NERTWORK (2) LAN INTERNET (3) GPRS. (4) WIFI NERTWORK [ Inatakiwa uwe na wireless adapter]
  3. Waweza kutembelea site kama YOUTUBE, REDTUBE, YOUPORN kwa kutumia receiver hizi.
  4. Zinakuwezesha kuangalia IPTV Channel, tv zaidi 150 katika ubora wa HD
  5. Kwa ufupi zinafungua full premium package za PayTv Kutegemeana na Account utakayoweka

BEI YA ACCOUNT KWA AINA ZOTE ZA IKS DECORDER


3 Month TSH 85'000
6 Month TSH 150'000

AINA ZA ACCOUNT ZILIZOPO

1. CLINE - CCCAM SERVER [Viz. BestCamHD , Tv1, Killer, A1 & ZAP CCcam[SUP]In Stock[/SUP] ]
2. NLINE - NEWCAM SERVER [Viz. Azsky NewCam ]
3. AvatarCamHD - For Qsat, Speed HD & Other supported IKS Receiver TSH 60'000 kwe Miezi Sita (6)

JE KUNA KITU HUJAELEWA ?

iksmw1rct.png

HUDUMA NYINGINE

Shukrani kwa huduma zuri kwa wateja wako, account yangu ilikata ghafla nilipokwambia hukusita kunipa msaada,iliposhindikana ulinipa account nyingine ya cccam bila malipo ya ziada.
if you wanna buy qsat decorders this is the right guy to buy from
Mkuu naona chanell zote wala hazigandi kwa hiyo Q23sat mkuu Mwl thank.
nimenunua hii decoder Jana. so far I can not complain. I got what I was expecting. with Cccam account. it haven't stack for the whole of today.
Kaka Shukrani sana kwa kuniunganisha na CCCAM, yaani umenifanyia kitu kikubwa sana. Nafungua karibu zote na ziko stable.
Ova.
Sasa nimeanza kufurahia utamu baada ya huduma nzuri ya Mwl RCT,si kuniuzia account ya CCcam pia hutoa huduma na msaada,
Kwa watumiaji wa cccam, wakati wowote ukipata tatizo

  1. Angalia internet connection kama ipo active/ inactive Bonyeza Menu >> Settings >> Ethernet Config >> Config >> Link /Shut Down
lGnPkb
2. Anaglia status ya CCCam account je ipo Connected / Disconnected

80wPRh

KARIBU
soft_Update_RCT.png


Download Link for Q11G: http://bit.ly/rctQ11G

Download Link for Q11G+: http://bit.ly/05Q11GPlus

Download Link for Q13G: http://bit.ly/rctQ13G

Download Link for Q13G+: http://bit.ly/rctQ13Gp

Download Link for Q15G: http://bit.ly/rctQ15G_0905

Download Link for Q16G: http://bit.ly/rctQ16

Download Link for Q23G: http://bit.ly/rctQ23G_0905

Download Link for Q26G: http://bit.ly/rctQ26G

Download Link for SPEED HDs1: http://bit.ly/rctSPS1

LINK ZITAKUWA UPDATED KILA NEW SOFTWARE IKITOKA
Je unayo moja kati ya Hizi Decoder: SPEED HDS1, ZORROBOX Z3, XMASTER 2, XMASTER 3, XMAN G8 & QSAT Decoders [ q26g, q23g, q15g, q16, q13g, q11g ]

Na Je Bado uko offline mpaka sasa?

Kama jibu ni NDIO wasiliana nami 0717 54 57 62 ili kuipa uhai na kufurahia decoder yako.
 
FREESAT V7 COMBO & FREESAT V7 MAX

DECODER ZIPO na kwa sasa zitapatikana kwa bei ya TZS 125,000 tu

1. Decoder Model: FREESAT V7 MAX
upload_2017-3-21_6-32-56.png


upload_2017-3-21_6-33-17.png


upload_2017-3-21_6-33-47.png


2. Decoder Model: FREESAT V7 COMBO
upload_2017-3-21_6-28-8.png


upload_2017-3-21_6-28-38.png


upload_2017-3-21_6-29-20.png


JINSI YA KUPATA MZIGO

- Kwa wakazi wa DSM tu- Cash on Delivery

- Kwa wadau wa mikoani mzigo utakufikia kwa EMS/ njia ya BASI - Wewe utapendekeza njia ipi itumike, Ghalama ya kusafirisha ni juu yako. Utafanya malipo kwa utaratibu utakaopewa ndipo utumiwe mzigo

MAWASILIANO

- Call/sms 0717 54 57 62 / 0768 92 48 41
- Whatsapp +255 784 496 856

upload_2017-3-21_6-30-26.png
 
IJUE ZAIDI RECEIVER HII YA QSAT Q23G
-------------------​
YQPZYg
---------------
YWAknA

------------------------
woc0IB

------------------------
CYlv4E

----------------------
68wM5h
 
Mkuu nilikuwa sijaipata hii kitu ya kutumia app ya smartphone au pad kama remote control hapa naona inafanya vizuri.
 
Aisee hii kitu naitafuta, bado haijashuka bei tu. Mi nasubiria ishuke bei ninunue

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Tatizo ya hivi vidude ni kugandaganda.
  • Ni kweli kwa acount ya AvatarCam
Je umewahi tumi moja kati ya hizi account kwenye device yako
  1. CCCAM
  2. IPTV
  3. DQCAM
Je unazizungumziaje hizi account?, Je zinaganda ganda kama ulivyosema hapo juu?.
Karibu tushirikishane uzoefu na changamoto ya hizi Receiver
 
nimenunua hii decoder Jana. so far I can not complain. I got what I was expecting. with Cccam account. it haven't stack for the whole of today.
 
.....ambapo network haifanyi vizuri
  • Network inayotakiwa ni ile iliyo stable, ambayo muda wote ipo, bila kujarisha kam ni EDGE Network (2g) au ni 3g Network
  • CCCam yaweza kutumika pia kijijini, ilimradi tu kuwepo na EDGE Network
  • Iwapo simu yako ya mkononi hapo ulipo inaweza kufungua site yeyote kwa edge network, basi hata hii receiver itafanya kazi katika hayo mazingira
  • Ukiwa na swali/ au hitaji la maelekezo zaidi/ kununua CCCAM usisite kuwasiliana nami SMS/CALL/WhatSapp # 0784 496 856
je vijijini sehemu ambapo network haifanyi vizuri vitashika bila kuganda???
 
Mimi Nina Qsat 11 je unaweza kuniwekea CCcam account? vipi kuhusu G6 kama unaweza tutafanya biashara
 
Mimi Nina Qsat 11 je unaweza kuniwekea CCcam account? vipi kuhusu G6 kama unaweza tutafanya biashara
  • Inawezakana kuwekewa CCCAM hata sasa hivi
  • Fanya malipo, Nakutumia account yako kwa PM
  • KARIBU
 
wakuuu mimi nina hii decoder lakini mbona scramble time all the time
  • Ni kweli "scramble time all the time" hii kwa account ya AVATARCAM
AVATARCAM ACCOUNT
  • Ni default account, na huwa ni ya mwaka mmoja
  • Haiko stable kutokana na servers kuwa down muda mwingi
  • Avatar Inatumia server ya kichina - tofauti na cccam ni server za USA
HIVYO ILI KUFURAHIA CHANNEL ZOTE
  1. Pata accouny ya CCCAM
  2. Utalipia kila baada ya miezi mitatu(3)
  3. Kumbuka hii cccam inatumika katika receiver zingine mfano STRONG STR 4922A, inatumika pia bara ulaya na malekaniu, just google CCCAM utaona habari yake
Kumbuka q23g imetengenezwa itumie IPTV, CCCAM, MGCAM, NEWCAM, pamoja na hiyo AVATARCAM ambayo ipo down
  • Call/sms/whatsaoo 0784 496 856 upate account yako ya CCCAM sasa
  • ​KARIBU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom