Ref: Upo tayari kufa au kufanyamapenzni na mama mzani au dada wa kuzaliwa naye

nakumbuka sana hicho kipindi
hasa mapori ya geita kuelekea chato hadi ngara pamoja na njia ya kibondo.

It was crazy, lakini ndo ilikuwa hali halisi.
Sema kipindi hicho hakukuwa na media ya kufichua maovu hayo ila itwas so common.

Nakumbuka kuna baba mmoja alilazimishwa ku du na bintiye, baada ya siku 3 akajinyonga.

Mie siwezi mlaumu yeyote katika situation hiyo. We live once...

Alikua sahh kujiondoa bora ufe kuliko laana ya ainahiyo
 
Kuna wakati chachu za chukizo zinafanya binadamu asiogope kifo. Kuna uwezekano mkubwa wa kukasirishwa na amri hiyo hivyo kwa wakati huo kutoogopa kufa..
 
Hapo ninakubali kufa tu.
Lakini kwa kuwa naelewa nitakufa, sitokubali kufa ninalialia, nitawafanyie jeuri/ufedhuli wowote ili kupunguza hasira zangu.
Unakumbuka kuna sheria ya kuomba kitu cha mwisho kabla kuuliwa? Fikiria nitamwomba nini.
 
Kuna kipindi nilikuwa nikifanyakazi kwenye operesheni ya wakimbizi huko Magharibi ya Tanzania. Kutokana na wimbi la Wakimbizi, kulikuwa na silaha nyingi sana zimezagaa na hivyo majambazi yanayosadikiwa kuwa ni wakimbizi toka nchi jirani yalikuwa yakikaa kwenye misutu minene na kuteka magari ya abiria. Moja ya ukatili waliokuwa wakiufanya ni kuwalazimisha watu wafanye tendo la ndoa na ndugu zao wa kuzaliwa au mama yako mzazi. Huwa wanauliza huyu ni na ni kwako, kwakuwa hujua utasema ni mama yangu mzazi au ni dada yangu wa tumbo moja, baada ya hapo mtutu kisogoni ukilazimishwa ufanye naye tendo la ndoa, na huwa hawatanii usipofanya ni risasi. Je hii ukikutokea wewe upo tayari kufa au kutimiza matakwa yao?

Inaelekea wewe ulifanya na mmoja wao ndo maana upo hai mpaka sasa
 
Ni situation ngumu lakini hakuna option nyingine. Kuishi na kumbukumbu ya ku'doo' na mzazi au dada ni ngumu mno kwangu. I'll be depressed and even jump off a building kabla ya siku zangu :hatari:. Utamwambiaje mzazi/dada, 'haya weka pozi nzuri mie nipo tayari!'. It's better to die with a bit of dignity in you than live perpetual shame

Tumia colour nyingine kwenye maandishi yako kwani hii inaumiza macho kuyasoma kwenye simu
 
lakini kuna watu wengi sana wamefanya mapenzi na kaka/dada zao, hasa utotoni watu wakiwa na umri wa miaka chini ya kumi na nne....wengi sana yaani wamewakojolea dada zao.
 
Mi najua mtu ilimtokea, waliingiliwa usiku na majambazi,
wakataka kumbaka binti yake wa miaka 17.
Akapigana nao, wakamzindi nguvu sababu ya silaha.
wakamlazimisha kumbaka mtoto wake mwenyewe.
akakataa, wakamuua na wakaondoka (bila kumbaka tena yule binti).
Hadi leo anamuona Baba yake kama hero,
na familia nzima inamheshim yule baba kama hero.
Sasa sijui angembaka ingekuaje...
 
Watu wanafanya bila kushikiwa bunduki. Wengi tu, wengine ni kutoweza kujizuia, wengine wanadanganywa na ma sangoma, wengine ni ma afiriti tu.

Wengi wao huwa hawakubali hilo, lakini ni mambo yaliopo kwenye jamii.

Kuna mtu namfahamu sana kazaa na mwanae, na mama mtu anajuwa na wanaishi pamoja wanalea mtoto mjukuu. Anasema ndio imeshatokea afanye nini? wote wake.
 
Back
Top Bottom