Ref: Upo tayari kufa au kufanyamapenzni na mama mzani au dada wa kuzaliwa naye

Sasa mtu akikuforce umlale mama yako, huyo si kisha kuua tayari ?
Hata asipofyatua hiyo bunduki yake mi nshadedi .
 
Unapochangia hoja ya mtu wapaswa uwe na uwelewa wa mada na kufahamu usahihi wa mada. Unaposema mimi nina mtazamo wa kumtamani mama yangu ni matusi makubwa sana nadhani umevuka mika na kukosa heshima kwa watu usiowafahamu. Mada hii inaelezea hali halisi ya ukweli ambayo imekuwa ikotokea kwenye misitu mikubwa iliyo kati ya Ngara na Karagwe, Biharamulo, Kibondo , Lusaunga na maeneo mengine yalipo katika kanda ya Magharibi ambako wakimbizi wengi wamekuwa wakiisha toka 1994. Kwahiyo nimesikitika sana na kauli yako kuwa mimi namtamani mama yangu mzazi aliyenizaa na mimi ni chizi. Chukua position yangu na kuwa ya kwako ungejisikiaje, kumweleza huya mtu mwenye heshima zake na akili timamu ni kuabuse the forum. Kwania nzuri tu nakuomba uniombe msamaha kwahili la sivyo nitakufuatilia ili ufungiwe humu, nitakuripoti.

Hivi ni kitu gani kimekufanya uwaze haya??
Hii yaweza kuwa ni inidcation ya wewe kumtamani Mama/Dada zako.
Kwanini usingetoa mfano wa Dada kwa Kaka/Baba ukakimbilia kwa Mama/Dada.
Ukiendelea na mawazo yako haya machafu mwaka huu haukatizi lazima uwe chizi...
 
> Forum > JF Social Forums
(Lounge) > Mahusiano,
mapenzi, urafiki
Topic: Ref: Upo tayari kufa au
kufanyamapenzni na mama
mzani au dada wa kuzaliwa
naye
HAPANA, sipo tayari kufa kipagani hivyo wala kuzini kipagani hivyo, Amen!!??
 
Sidhani kama kweli ulikuwepo huko? Organization gani ulikuwa unafanyia kazi? I have been there working with United Nations World Food Programm for couple of years and all movements there at that particular time required police escorts. Tell me what do you know about that issue. It reached to the extent that even Mkuu wa wilaya alivuliwa nguo na ikabidi mkuu wa mkoa wakati huo General Kiwelu atuma JWTZ kuwasaka hao jamaa katika misitu. Kama kweli ulikuwepo huko eleza unachofahamu juu ya hii habari.

Da! We jamaa ni muongo!
Ni kwamba mlikuwa mnavuliwa nguo zote, no matter upo na nani?
I have been their for almost eight years, working with those area as security officer!
 
Asante kwamba unafahamu hiyo historia maana kuna wengine wanabisha kwamba nilichosema sio sahihi.

nakumbuka sana hicho kipindi
hasa mapori ya geita kuelekea chato hadi ngara pamoja na njia ya kibondo.

It was crazy, lakini ndo ilikuwa hali halisi.
Sema kipindi hicho hakukuwa na media ya kufichua maovu hayo ila itwas so common.

Nakumbuka kuna baba mmoja alilazimishwa ku du na bintiye, baada ya siku 3 akajinyonga.

Mie siwezi mlaumu yeyote katika situation hiyo. We live once...
 
Hilo hali mpaka leo ipo, Ukianzia pale NYAKANAZI(Hapa ni salama kwa sababu ni mjini) lakni baada ya kupita kituo cha polisi BIHARAMULO mpaka,Kibondo,Kasulu mpaka Kigoma mjini hali ni tete sana. Kama ukifika pale Biharamulo polisi wanapanda ndani na bunduki zao, utasemaje huko ni salama. Kuna sehemu ukipita huko Biharamulo,Kibondo,Kasulu unakuta magari yameweka mizinga juu huku ikitazama barabarani utasemaje usalama upo. Kama ukipita maeneo hayo unakuta wanajeshi wanalinda katikati ya misitu utasemaje huko salama.
Wenyeji wanasema watu huwa wanavuliwa nguo, sasa kama wanavuliwa nguo wanashindwaje kuwaambia wamegane. Mimi nilichoona kule kila ufirauni unawezekana kufanyika.

LABDA MTOA MADA KAONGEZEA KAMA UPO NA DADA YAKO AU MAMA YAKO, UKAAMBIWA UPIGWE RISASI AU UWAMEGE UTAFANYAJE?
Ukiwa eneo la tukio mtu huwa jasiri sana, naamini ni bora wanitwange risasi kuliko kufanya mapenzi na mama yangu au dada yangu, kwanza inawezaje kusimama, ikisimama ujue wewe ni firauni tu.
 
Hivi ni kitu gani kimekufanya uwaze haya??
Hii yaweza kuwa ni inidcation ya wewe kumtamani Mama/Dada zako.
Kwanini usingetoa mfano wa Dada kwa Kaka/Baba ukakimbilia kwa Mama/Dada.
Ukiendelea na mawazo yako haya machafu mwaka huu haukatizi lazima uwe chizi...

haya yalikuw ayanatokea sio mtu kuwaza uchizi au nn...uliza watu wamikoa ya huko kagera na kigoma watakwambia mwana jamvi
 
Sidhani kama kweli ulikuwepo huko? Organization gani ulikuwa unafanyia kazi? I have been there working with United Nations World Food Programm for couple of years and all movements there at that particular time required police escorts. Tell me what do you know about that issue. It reached to the extent that even Mkuu wa wilaya alivuliwa nguo na ikabidi mkuu wa mkoa wakati huo General Kiwelu atuma JWTZ kuwasaka hao jamaa katika misitu. Kama kweli ulikuwepo huko eleza unachofahamu juu ya hii habari.

aisee wewe mwanajamvi inaonysha unatudanyanga maana kama umewahi kufanya kazi huko na WFP na hujawahi sikia hii habari wewe naye hamna kitu...magari ya UN yote yana escort ya polisi lakini mabasi je??na kwa taarifa yako wanajeshi wa JWTZ wameanza kutembea ma mashine gani nzito nzito juu ya magari hasa hasa kipindi jamaa mmoja anaitwa VENANCE TOSSI alikuwa RPC wa kagera na ndiye alikuwa akiongoza operesheni hiyo
 
Idle mind??? The house of devil :(

Ukiwa bize na huu ukata wa sembe na dagaa huwezi kuwaza hivi.
 
kwa mwanaume kama ukilazimishwa kuzini na mama yako, ukapata erection na kufanya penetration, basi unakuwa umekusudia kufanya hivyo, na ulikuwa unatamani siku kama hiyo ifike, kwanza hata kama ingekuwa ni mkeo kwa mazingira kama hao sidhani kama utapata erection. kwa hali ya kawaida lazima utaishia kupigwa risasi kwa sababu huwezi pata erection kwa mazingira hayo.
Mi humu si mdau ila hapa nichangie japo sijui huyu jamaa kawaza nini?.mi naungana nawe kama ukisima....ulitamani siku nyngi
 
Ni bora kufa kuliko kuchukua nafasi ya baba katika mazingira yoyote. Kufa ni kufa na ikiwa hivyo nitajua siku zangu duniani ndiyo zimekomea hapo maana kifo huja kama mwivi, hakisemi.

Hata upande wa dada nao ni fedheha sana kukubali eti kisa dada.
 
Dah! mama yangu mzazi may be sister ila mama hata mtutu haushtuki.... bora nifee....
 
Mimi naomba litokee zali sku moja basi la JF litekwe halaf niambiwe ningonoke na ka mrembo flani ivi ka humu JF (jina litatajwa next week)
 
Back
Top Bottom