Redio Imaan na Tv Imaan kwanini zinabagua Wanawake?

kama ukristo ni umagharibi je uislamu umesahau umetoka wapi? jiulize dini ya mwafrika ni ipi,tusikae kuchukiana kwa vitu ambavyo ni utamaduni wa wokoloni, uislam ina culture ya kiarabu ndio maana wanabagua wanawake.

ukristo haubagui eeenh,,,,????sasa si mngekua mnalala na dada zenu chumba kimoja?mbona mnawabagua????
 
ukristo haubagui eeenh,,,,????sasa si mngekua mnalala na dada zenu chumba kimoja?mbona mnawabagua????

kweli kichwa chako ovyo! ndio maana tunaihusisha hiyo dini na wasiosoma, wewe ni mmoja kati ya wasiosoma kwani hata maelezo yangu umeshindwa kuyaelewa. kulala na dada au kaka chumba kimoja sidhani kama ni mafundisho ya dini. hata kama mtu hana dini hawezi kulala chumba kimoja na dada yake au kaka yake. hayo ni mawazo yako potofu ambayo ni kinyume na maadili.
 
Misikiti yote duniani lazima kibra kiangalie kaskazini,kinyume na hapo hamna mawasiliano na allah pia kwa maneno mengine mwanamke ana siku za unajisi
 
Leo nilikuwa nasikiliza asubuhi shehe Mmoja akasema Baba Wa taifa ndio aliyewakandamiza wanawake na kudumaza elimu yao leo hii wao wanajifanya watangazaji ni wanaume tu hiyo Radio haifai hata yanayoongelewa ni takataka bora hata kutowashirikisha wanawake kwenye radio ya kijinga kama hii.
 
Ndekuyo, umenikumbusha Malala Yousafzai, msichana aliyeambulia risasa eti anapingana na msahafu kwa kuhamasisha wasichana wapate elimu.Msahafu unatafsiriwa kuwa wanawake wasisome wala kuajiriwa.
 
Wewe uliyesoma madrasa nakushauri urudi tena na usome kweli sio blablaa!Uliza wenye elimu na usipende kudiscuss kitu ambacho huna elimu nacho kama kweli ww ni muislam!MUNGU akufungue akili na upate ufahamu.

Jamani mbona hamumpi jibu mnaishia kumshambulia tu??

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jamani mimi ni muislamu lakini mbona sijawahi fundishwa madarasa kuwa wanawake wabaguliwe katika shughuli mbalimbali? Redio na tv imani hawana mtangazaji hata mmoja mwanamke mbaya zaidi hata akipiga simu kuchangia anakatiwa simu, muuh! Mbaya sana. Mbona ile redio ya BAKWATA ina watangazaji wanawake? Uisalamu wa Redio na Tv imani ni upi? Basi sisi waislamu tunakasoro mbaya sana.

We sio muislam, Muislam hawez kuuliza swali hilo toa UKAFIRI wako hapa,kama umeishiwa hoja sema!
 
Back
Top Bottom