Redio imaan: Gazeti la mtanzania liache kupotosha kesi ya ponda

............Yeye mwenyewe yuko wapi !?........itikadi zake ziko wapi !? ..........zimefanikiwa wapi !?

Sema: (Muhammad kuwaambia makafiri) .....mwaonaje Mwenyezi Mungu akanyakua kusikia kwenu, na kuona kwenu, na akaziziba nyoyo zenu, ni mungu gani asiyekuwa Mwenyezi Mungu atakaye kuleteeni hayo tena ? Angalia vipi tunavyo zieleza Ishara, kisha wao wanapuuza ! Qur'an: 6:46.

" Na waliokanusha ishara zetu ni viziwi na mabubu waliomo kizani. Mwenyezi Mungu hamwachi kupotea amtakaye, na humweka kwenye njia iliyonyooka amtakaye" Qur'an: 6:39.

Sema: (ewe Muhammad kuwaambia hao makafiri) .....tembeeni ulimwenguni, kisha mtazame ulikuwaje mwisho wa wanao kanusha. Qur'an: 6:11.

In short Ponda ni mhalifu. Siamini kama aliyoyafanya ni maagizo ya Allah wenu maana siamini pia kama Allah wenu ni Mhalifu
 
Makosa yanayofanywa na Radio imani ni marudio ya makosa kama yaliyopata kutokea huko nyuma kipindi ambacho Nyerere alitaifisha shule za kanisa ili Waislamu na wengine wapate elimu dunia.

Kipindi hicho Waislamu walikuwa nyuma kielimu na walilalamika kwamba watoto wao watalishwa nguruwe, watafuga nguruwe au kubadilishwa dini. Kabla na baada ya uhuru malalamiko haya yalikuwepo .

Leo Waislamu wamepata Radio kwa imani ya dini wanaamini kwamba ikitumia muda mwingi kupambana na wakristo ndio ukombozi wenyewe lakini radio za kanisa zimeanzisha madarasa ya elimu dunia kwa njia ya vipindi vya radio.

Waislamu wanahitaji kutafakari muda unakwenda mwenzao wanazidi kuwaacha nyuma.

.............Waislaam hawashindani na wakristo na kamwe mkristo hatompita Muislaam !
iweje mtu ana Masters lakini anaamini mungu alishikwa na akapigwa na ushahidi wa picha anao !!?

" Na maisha ya dunia si chochote ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, Je, hamtii akilini ? Qur'an: 6:32.
 
Wapi nimesema Chadema ni chama cha kidini unaweza kunionyesha?

Ninachohoji hapa kwa nini Pro-Chadema JF wanapambana na Waislam badala ya kupambana CCM.

Kwa nini unataka kutufikisha mahala mwanaJF akihoji Ukristo basi tudhani ni mwislamu au CCM na Jf wakihoji Uislamu basi ni wakristo au chadema wasiopenda Uislamu.

Hapo tunashindwa kuzuia hisia zetu za kiimani au kisiasa na tunachanganya mada katika suala moja.

Ritz naamini wewe hupendi mtu amtukane Mtume wako na imani ya Kiislamu na wakristo hivyo hivyo. kwa nini hatujizuii kuwa sehemu ya wasiopenda waislamu na wakristo waishi kindugu?

Hoja iliyo mbele yetu inajadili vipindi vya radio imani kama ilivyo TBC, ITV, Radio Clouds kwa nini tusijenge hoja za utetezi dhidi ya wanaopindisha ukweli kuliko kudhani ni kazi ya wanachadema?

chadema sio inayorusha matangazo ya radio imani na kusikika nchi nzima ni kama tunakwepa wajibu wetu wa kujenga hoja kwenye masuala ya kitaifa.
 
.............Waislaam hawashindani na wakristo na kamwe mkristo hatompita Muislaam !
iweje mtu ana Masters lakini anaamini mungu alishikwa na akapigwa na ushahidi wa picha anao !!?

" Na maisha ya dunia si chochote ila ni mchezo na pumbao tu. Na hakika nyumba ya Akhera ni bora zaidi kwa wanao mcha Mungu. Basi, Je, hamtii akilini ? Qur'an: 6:32.

Unatakiwa kujiuliza iweje watu wapatao bilioni 2 wa dini hiyo ya kikristo dunia wanaamini jambo hilo? je wote ni wajinga hawajui kutafakari? Badala ya kulaumu watumia rafiki na pengine ndugu zako wa dini ya kikristo kujua jambo hilo ambalo wewe huamini.

Kutaka kujua imani ya mwenzako hata kama si ya kwako ni jambo la heri. kama ungetaka kujua suala hili jukwaa hili la JF lingekusaidia kujua hili linalokutatiza hata kama kuelewa huko hakuhusiani na dini yako.

Kumbuka, mke wa mtume Mohammed S.A.W mama Asma alikuwa wa jamii ya watu wa kitabu na makafiri lakini hata siku ile mama Asma ( Mkwe wa Mtume) alipokuja nyumbani kwa mtume alimruhusu mama Mkwe kuingia baada ya Asma kumfungia mama yake nje akiogopa pengine Mtume angekasirika.
 
Dhamira kubwa ya cdm si kuondoa ufisadi bali ni kupambana na waislam.wanajaribu kuificha lakini wanashindwa.na waislamu wengi weshajua hivyo.wanaisingizia ccm kwamba ndio inayoendesha propaganda hiyo lakini ukweli unajionyesha na kwa namna hii hamfiki popote mtaishia kupata ruzuku kwa ajili ya wabunge wachache.hoja yoyote inayotaja waislam mnaijibu kwa jazba.acheni kuionea ccm.tatizo mnalo wenyewe

Unataka kusema dola inayoongozwa na CCM ni dhaifu na inakiuka katiba kwa kushindwa kulinda katiba yetu?

Siamini kama kweli chadema kingekuwa chama cha kidini kingekuwa bado kipo hai!!!!

Hii ingekuwa kete nzuri sana ya kuimaliza CDM na kuifutilia mbali.

By Zitto kabwe alipoongea moja kwa moja na JF.
 
sikuzote kujiona wewe ,ni mkweli huku jamii ikikuona una dosari lkn hutaki kuzikiri hizo dosari, utakuwa mchonganishi na usiyependa AMANI, unadhani nini? kinachotokea SOMALIA ni kujifanya wakweli, ni halali waislaam kuuwana, wao wenyewe kwa wenyewe, taifa gani? la kiislam lililosimama na kuvikemea vikundi vya mauaji Somalia, au lini? umeona maandamano hapa Tanzania ya waislam kupinga waislamu wenzao, wanavyopata madhila ya kuuwawa huko Somalia, Uganda na Kenya ,Burundi zimeingilia mgogoro ule Taifa gani? la kiislam lililopongeza waziwazi.lkn mimi ninalo jibu ili Somalia iwe na amani iruhusu UKRISTO uhubiriwe sanjari na uislam amani itapatikana lkn ikibaki radio IMAAN pekee katika anga la habari Tanzania ,shari lazima itokee. lkn hivi sasa radio kibao inasaidia saana.huo unaouita ukweli unabaki kwa wale waislam mfano wa Ponda lkn wale wengi waislam wa kweli wanabaki BAKWATA wakiishi kwa amani na upendo kwa wafuasi wa dini zingine ambazo hata mtume alizipenda.

Red ina mantiki.

Akina Ponda na wanaharakati wenzao hawaandamani kupinga mauaji ya waislamu kwenye nchi za kiislamu kama Somalia na Syria lakini nchi zilizo na wakristo wengi zinaingilia kutuliza vita kama Uganda, burundi na kenya lakini nchi za kiarabu ni kama hawapo kuisaidia Somalia. Je, vifo vyote ni kwa jina Allah kiasi kwamba uhai si chochote?
 
Waislamu ni shemeji zetu tunaishi vizuri tu. Hata hivyo Redio imaan ni chombo cha kipuuzi kinachoeneza upuuzi. Sielewi redio hii inalindwa na nani maana haina hata adabu kwa Baba wa Taifa Mwl. JULIUS KAMBARAGE NYERERE
.

wengi wamejiuliza sana swali hili bila majibu
 
! Dah!! Kwani Ponda akiwa rumande inawahusu nini??? Siku zoote anaecheka mwanzo sio mshindi..! Endeleeni kucheka tu. siku ukiwa sandukuni kuelekea mchangani hapo ndo utajua nani mshindi


Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk
 
Yote kwa yote tunahitaji Tanzania salama kwa watu salama na mali zao. Tanzania yetu sote na hakuna wakujidai yeye ni zaid ya wengine.

lakin pia lazima yeyote anayetishia amani yetu na kutishia kustawi kwa watanzania kwa umoja yaan wanaoamini na wasio amini hatufai ni wakupigwa vita zaidi ya chochote. Tanzania tunahitaji umoja, amani na mshikamano zaid ya chochote.

Sote tunaona matokeo ya chokochoko yanavyozighalimu nchi kama sudan, somalia Nigeria, syria, afghanstan, pakistan nk.

Tuupinge mgawanyiko wa udini kwa nguvu zote, tutabaki salama kama watanzania nje ya hapo tutagawanyika vibaya na madhara hayatachagua nani ni din gan wote tutakuwa matatani.
 
Uliberali unakataa kwamba ili kufikia mabadiliko na mageuzi ya kweli tunahitaji dini, chama cha siasa, jinsia au kabila la mtu.

Mabadiliko au mageuzi hayahitaji dini, kabila au jinsia ya mtu. Ni kosa kubwa kufikiri kwamba, chama cha siasa, dini, jinsia au kabila la mtu litatufikisha kwenye mabadiliko ya kweli. Taifa kwanza.


Leo hii wapo watu wanaoamini kwamba ili tufikie mabadiliko na mageuzi tunayotaka tunahitaji mwanamke, mtu wa kabila fulani au wa dini fulani.

Mageuzi na mabadiliko yataletwa na wapenda mageuzi bila kujali dini yao, chama chao cha siasa, kabila au jinsia.
 
Jaman yooote tisa funga kazi ni magazeti an nuur, kisiwa na al huda. Yan yenyewe hayana habari nyingine zaidi ya habari za uchochezi tu
 
............Yeye mwenyewe yuko wapi !?........itikadi zake ziko wapi !? ..........zimefanikiwa wapi !?

Sema: (Muhammad kuwaambia makafiri) .....mwaonaje Mwenyezi Mungu akanyakua kusikia kwenu, na kuona kwenu, na akaziziba nyoyo zenu, ni mungu gani asiyekuwa Mwenyezi Mungu atakaye kuleteeni hayo tena ? Angalia vipi tunavyo zieleza Ishara, kisha wao wanapuuza ! Qur'an: 6:46.

" Na waliokanusha ishara zetu ni viziwi na mabubu waliomo kizani. Mwenyezi Mungu hamwachi kupotea amtakaye, na humweka kwenye njia iliyonyooka amtakaye" Qur'an: 6:39.

Sema: (ewe Muhammad kuwaambia hao makafiri) .....tembeeni ulimwenguni, kisha mtazame ulikuwaje mwisho wa wanao kanusha. Qur'an: 6:11.

Mankind was there before religion. Religion being a human product started relatively few years ago ( 2000 years ago). All religions' source is the deserts. Historical psychologist will prove to you that utter emptyness, idleness and loneless of the deserts can lead a man to coin some of the strangest ideas ever imagined. Unlike science god remains an illusion on the mind of the ignorant. It is the most unproven phenomenon and i can bet it will never will. RIP
 
Hivi kwa nini serikali ilifungia mwanahalisi halafu ikaacha hii redio? maana mimi naona haijengi zaidi ya kubomoa
 
Tofauti ya ccm na cdm ni kwamba ugonjwa wa ccm unatibika lakini wa cdm hautibiki dawa ni kuuchoma au kuufukia.nina maana ccm inaumwa ufisadi kuwaondoa mafisadi kwenye chama inawezekana .cdm inaumwa ukabila na udini ambayo matibabu yake ni magumu
 
Radio Iman ni kiboko aisee! Povu linawatoka watu ovyo.

Ponda wakati anaingia jela alikuwa hivi o alipokwenda kuskiliza kesi alikuwa ivi () mpaka siku anatoka nyuma atakuwa hiv ( ).
chezeya nyapala wewe!
 
Back
Top Bottom