Redio imaan: Gazeti la mtanzania liache kupotosha kesi ya ponda

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
Leo nimesikia kwamba redio imaan likiwaambia waandishi wa gazeti la Mtanzania kuacha kupotosha kesi ya Ponda mahakamani

Wamedai gazeti hilo toleo la leo wamepotosha kwa kiasi kikubwa.

TAARIFA YA HABARI YAO:
Wamesema BAKWATA imekiri kwamba hawakuwashirikisha waislam watz, lkn hata hicho kiwanja walichopewa hawajawahi kukiona kabisa tofauti na gazeti hilo lilivyopotosha
 
wao redio iman walikuwa mahakamani wakati anahojiwa huyo kadhi (49) ... Hawa wanatokwa tokwa na mapovu hakuna lolote wanafurahia makanisa kuchomwa.
Wanataka waislam wote wa tanzania waongozane kwenda kuangalia hicho kiwanja?
 
wao redio iman walikuwa
mahakamani wakati anahojiwa huyo kadhi (49) ... Hawa wanatokwa tokwa na
mapovu hakuna lolote wanafurahia makanisa kuchomwa.
Wanataka waislam wote wa tanzania waongozane kwenda kuangalia hicho
kiwanja?

hii radio ni janga kwa waislam na wasio waislam kwa kukosa watangazaji na wahariri weledi
 
Waende sasa Mahakamani wakatoe ushahidi wa kile wanachokiamini kuwa ndio ukweli wenyewe. Watalalama pembeni hatimaye bosi wao Ponda atafungwa jela halafu waendeleze manung'uniko kuwa eti ameonewa na Mahakama. Ujinga nao ni mzigo mkubwa sana.
 
Ponda kufungwa ni lazima, asipofungwa nitashangaa sana.

Hivi kuna sheria yeyote inayojustify kutumia nguvu kuvunja ukuta wa watu, kuiba mabati, kujenga banda kwenye eneo la watu na kutukana?

Hata kama BAKWATA wana makosa, hayahalalishi Ponda kufanya makosa aliyoyafanya. Hooliganism ni crime.
 
hii radio ni janga kwa waislam na wasio waislam kwa kukosa watangazaji na wahariri weledi

Hii radio huwa wakweli na huwa hawapepesi macho kwenye kusema ukweli kwa weledi wa taaluma yao. Siku zote ukweli huuma , ila ni radio ya mfano wakuigwa.

Hawa Radio Iman wanamteteaje Mwizi? Hawajui kama Ponda aliiba Simenti, Kokoto na Nondo za mmiliki halali wa kiwanja? Mi nilidhani kama wanapenda haki wangehamasisha Ponda akatwe mikono kwa mujibu wa Shariah!
 
Sisi ndio waislamu ; redio imaan ndio redio yetu.
Redio imaan, mwangaza kwa umma

waeleze hao wanachuki sana na hii radio lakini tunawaambia haitafungwa na nyinyi mutabakia nachuki zenu sasahivi manaswara wanawatetea Bakwata maajabu ya tanzania
 
hii radio imejaa ushabiki tu haina jambo la maana!uliza watu wangapi wanaisikiliza ndipo utashangaaa
 
Hawa Radio Iman wanamteteaje Mwizi? Hawajui kama Ponda aliiba Simenti, Kokoto na Nondo za mmiliki halali wa kiwanja? Mi nilidhani kama wanapenda haki wangehamadishwa Ponda akatwe mikono kwa mujibu wa Shariah!

Alichofanya ni SUNNAH, ilifanyika hata kule Mecca na Medina. Kwa kule ziliitwa CARAVAN RAIDS ila hapa bongo kwa mujibu wa vitabu vitukufu inaitwa AGRITANZA HOOLIGANISM. Fuata hizo link utaona kwa undani juu ya hizi sunnat ahly ambazo ni ibada
 
Hawa Radio Iman wanamteteaje Mwizi? Hawajui kama Ponda aliiba Simenti, Kokoto na Nondo za mmiliki halali wa kiwanja? Mi nilidhani kama wanapenda haki wangehamadishwa Ponda akatwe mikono kwa mujibu wa Shariah!

Tanzania kuna mtu ambae sio mwizi we mwenyewe mwizi PONDA anadai haki za watu msipelekwe kibubusa
 
waeleze hao wanachuki sana na hii radio lakini tunawaambia haitafungwa na nyinyi mutabakia nachuki zenu sasahivi manaswara wanawatetea bakwata maajabu ya tanzania

redio imaan, faraja kwa umma.
Redio imaan, faraja kwa waislam wakweli.
Redio imaan, faraja kwa waumini.
Wasioipenda, wana chuki na waislam na uislam.
Atakalo mola kuwa ndio linalokuwa.(kun faya kun)
kamwe hamtaweza kuondosha neema za allah kwa waumin.
 
Nauliza tu,

Je, Radio imani ina vipindi vya elimu dunia kwa waislamu? kama zilivyo radio kama Radio tumaini, wapo Radio zinazomilikiwa na wakristo? kwani kupitia radio watoto wetu wanaweza kupata elimu dunia na hata watu wazima watafaidika na vipindi vinavyoongeza weredi.

Asiilimia 95 ya vipindi vya Radio za kanisa ni kuelimisha jamii na hata magazeti ya dini kama kiongozi na msema kweli yanayochukua mlengo tofauti na magazeti ya dini kama Al nuur na Al Huda
 
redio imaan, faraja kwa umma.
Redio imaan, faraja kwa waislam wakweli.
Redio imaan, faraja kwa waumini.
Wasioipenda, wana chuki na waislam na uislam.
Atakalo mola kuwa ndio linalokuwa.(kun faya kun)
kamwe hamtaweza kuondosha neema za allah kwa waumin.

Well said , Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom