Redio imaan: Gazeti la mtanzania liache kupotosha kesi ya ponda

Waislamu ni shemeji zetu tunaishi vizuri tu. Hata hivyo Redio imaan ni chombo cha kipuuzi kinachoeneza upuuzi. Sielewi redio hii inalindwa na nani maana haina hata adabu kwa Baba wa Taifa Mwl. JULIUS KAMBARAGE NYERERE
 
redio imaan, faraja kwa umma.
Redio imaan, faraja kwa waislam wakweli.
Redio imaan, faraja kwa waumini.
Wasioipenda, wana chuki na waislam na uislam.
Atakalo mola kuwa ndio linalokuwa.(kun faya kun)
kamwe hamtaweza kuondosha neema za allah kwa waumin.

"religion is an opium of the poor" - karl marx
 
Punda hata ukimbebesha kreti ya soda na keki hawezi kuchukua soda wakeki ale hatama ananjaa kwahiyo wote msio sikiliza radio hii ni sawa na punda hamjui thamani ya hii radio au kwasababu haipigibongo flava
Kumbe usipowasikiliza Punguani unahesabika kuwa uko sawa na punda? Kweli akili ni nywele ..
 
Sielewi kwa nini Pro-Chadema JF wanatumia nguvu nyingi kupambana na Waislam.

Chadema pambaneni na CCM sio Waislam mtazidi kujimaliza.
 
WORD....!!! Mambo yetu ( Waislam) tuachieni wenyewe!

Sent from my Nokia 8310 using Tapatalk

Hata Mohammed (S.A.W) na Yesu walitumwa na Mungu kuifanya dunia kuwa na dini moja, ,,, tunawaita mitume wetu walitumwa na Mungu hawakuweza kuifanya dunia ya dini moja ndio binadamu wa kawaida tutaweza?
 
Hiyo ndio redio pekee inayoongea ukweli bila kujikombakomba.mtu mwenye imani haba na kafiri ndio ataikosoa kwa vile haiko kidunia zaidi ipo kiimani zaidi
 
Sielewi kwa nini Pro-Chadema JF wanatumia nguvu nyingi kupambana na Waislam.

Chadema pambaneni na CCM sio Waislam mtazidi kujimaliza.
.

Siamini kuwa uko hapa kupambana na ukristo bali upo kujenga hoja.

Kama chadema ni chama cha kidini kitajimaliza chenyewe. Watanzania watakifuta kwenye uchaguzi hofu ya nini?

Kama chadema ni chama cha kidini kwa nini hakifutwi? katiba iko wazi kwa hili. Hii ni kazi ya dola.
 
Hiyo ndio redio pekee inayoongea ukweli bila kujikombakomba.mtu mwenye imani haba na kafiri ndio ataikosoa kwa vile haiko kidunia zaidi ipo kiimani zaidi

Pitia radio za kanisa zina vipindi vya sayansi, hesabu, historia n.k lakini hapo hapo tunataka dini hizi mbili zilingane kwenye soko la ajira?

Radio Imani ni janga kuu kwa waislamu kuliko wakristo....... Time will tell.
 
Hiyo ndio redio pekee inayoongea ukweli bila kujikombakomba.mtu mwenye imani haba na kafiri ndio ataikosoa kwa vile haiko kidunia zaidi ipo kiimani zaidi

Tofauti za wakristo na waislamu kidini zitaendelea kuwepo hata kiama kije. Wakristo wataendelea kuwepo na Waislamu wataendelea kuwepo.

Usawa wetu (waislamu na wakristo) tutaupata kwenye elimu dunia kama kila mwenye dini atafuata barabara sahihi kufikia kilele cha elimu dinia.

Radio Imani ni janga kuu kwa waislamu kuliko wakristo....... Time will tell.
 
Nimeziona sanahazina tofauti na zile za mitaani ziko kibiashara zaidi kuliko maadili
 
"religion is an opium of the poor" - karl marx

............Yeye mwenyewe yuko wapi !?........itikadi zake ziko wapi !? ..........zimefanikiwa wapi !?

Sema: (Muhammad kuwaambia makafiri) .....mwaonaje Mwenyezi Mungu akanyakua kusikia kwenu, na kuona kwenu, na akaziziba nyoyo zenu, ni mungu gani asiyekuwa Mwenyezi Mungu atakaye kuleteeni hayo tena ? Angalia vipi tunavyo zieleza Ishara, kisha wao wanapuuza ! Qur'an: 6:46.

" Na waliokanusha ishara zetu ni viziwi na mabubu waliomo kizani. Mwenyezi Mungu hamwachi kupotea amtakaye, na humweka kwenye njia iliyonyooka amtakaye" Qur'an: 6:39.

Sema: (ewe Muhammad kuwaambia hao makafiri) .....tembeeni ulimwenguni, kisha mtazame ulikuwaje mwisho wa wanao kanusha. Qur'an: 6:11.
 
Maskini Ponda anatia huruma! kaachwa peke yake! huu ni unafiki wa hali ya juu! chezea mfumo kristo! ooooh mama!
 
Makosa yanayofanywa na Radio imani ni marudio ya makosa kama yaliyopata kutokea huko nyuma kipindi ambacho Nyerere alitaifisha shule za kanisa ili Waislamu na wengine wapate elimu dunia.

Kipindi hicho Waislamu walikuwa nyuma kielimu na walilalamika kwamba watoto wao watalishwa nguruwe, watafuga nguruwe au kubadilishwa dini. Kabla na baada ya uhuru malalamiko haya yalikuwepo .

Leo Waislamu wamepata Radio kwa imani ya dini wanaamini kwamba ikitumia muda mwingi kupambana na wakristo ndio ukombozi wenyewe lakini radio za kanisa zimeanzisha madarasa ya elimu dunia kwa njia ya vipindi vya radio.

Waislamu wanahitaji kutafakari muda unakwenda mwenzao wanazidi kuwaacha nyuma.
 
Hii radio huwa wakweli na huwa hawapepesi macho kwenye kusema ukweli kwa weledi wa taaluma yao. Siku zote ukweli huuma , ila ni radio ya mfano wakuigwa.

sikuzote kujiona wewe ,ni mkweli huku jamii ikikuona una dosari lkn hutaki kuzikiri hizo dosari, utakuwa mchonganishi na usiyependa AMANI, unadhani nini? kinachotokea SOMALIA ni kujifanya wakweli, ni halali waislaam kuuwana, wao wenyewe kwa wenyewe, taifa gani? la kiislam lililosimama na kuvikemea vikundi vya mauaji Somalia, au lini? umeona maandamano hapa Tanzania ya waislam kupinga waislamu wenzao, wanavyopata madhila ya kuuwawa huko Somalia, Uganda na Kenya ,Burundi zimeingilia mgogoro ule Taifa gani? la kiislam lililopongeza waziwazi.lkn mimi ninalo jibu ili Somalia iwe na amani iruhusu UKRISTO uhubiriwe sanjari na uislam amani itapatikana lkn ikibaki radio IMAAN pekee katika anga la habari Tanzania ,shari lazima itokee. lkn hivi sasa radio kibao inasaidia saana.huo unaouita ukweli unabaki kwa wale waislam mfano wa Ponda lkn wale wengi waislam wa kweli wanabaki BAKWATA wakiishi kwa amani na upendo kwa wafuasi wa dini zingine ambazo hata mtume alizipenda.
 
Dhamira kubwa ya cdm si kuondoa ufisadi bali ni kupambana na waislam.wanajaribu kuificha lakini wanashindwa.na waislamu wengi weshajua hivyo.wanaisingizia ccm kwamba ndio inayoendesha propaganda hiyo lakini ukweli unajionyesha na kwa namna hii hamfiki popote mtaishia kupata ruzuku kwa ajili ya wabunge wachache.hoja yoyote inayotaja waislam mnaijibu kwa jazba.acheni kuionea ccm.tatizo mnalo wenyewe
 
... Hata kama BAKWATA wana makosa, hayahalalishi Ponda kufanya makosa aliyoyafanya. Hooliganism ni crime.
Naona hili wanalisahau halafu wanakomalia kuwa BAKWATA wana makosa kuuza kiwanja. Wanasahau kuwa wameshtakiwa kwa kosa la kuvunja ukuta na kuiba mali, na wala si kwa kosa la kusema BAKWATA hawakuwa sahihi kuuza!
 
.

Siamini kuwa uko hapa kupambana na ukristo bali upo kujenga hoja.

Kama chadema ni chama cha kidini kitajimaliza chenyewe. Watanzania watakifuta kwenye uchaguzi hofu ya nini?

Kama chadema ni chama cha kidini kwa nini hakifutwi? katiba iko wazi kwa hili. Hii ni kazi ya dola.

Wapi nimesema Chadema ni chama cha kidini unaweza kunionyesha?

Ninachohoji hapa kwa nini Pro-Chadema JF wanapambana na Waislam badala ya kupambana CCM.
 
Maskini Ponda anatia huruma! kaachwa peke yake! huu ni unafiki wa hali ya juu! chezea mfumo kristo! ooooh mama!

Mengi yamesemwa kwamba Nyerere alikandamiza Uislamu lakini sasa Rais ni Mwislamu, Jaji Mkuu ni Mwislamu na Mkuu wa Polisi ni Mwislamu, Ponda bado yuko ndani . Rais ndio mtu wenye maamuzi ya mwisho juu ya jambo lolote nchini kwa njia ya kushauri, kuzuia au kufuatilia haki ikitendeka lakini bado malalamiko ya mfumo kristo yako pale pale. Dhana ya mfumo kristo inatumika vibaya hata inaanza kupoteza uzito wake ndipo tunadhani kuna watu wanataka kufaidika na vita vya kidini si bure
 
Sielewi kwa nini Pro-Chadema JF wanatumia nguvu nyingi kupambana na Waislam.

Chadema pambaneni na CCM sio Waislam mtazidi kujimaliza.

Bila kuitaja Chadema siku haiishi? Kwani Bakwata sio waislam waislam ni nyie tu mnaovaa suruali fupi?
 
Wapi nimesema Chadema ni chama cha kidini unaweza kunionyesha?

Ninachohoji hapa kwa nini Pro-Chadema JF wanapambana na Waislam badala ya kupambana CCM.
Chadema inapambana na wahuni, wezi, waleta fujo nk. Sasa kama Waislam wanafanya mambo hayo we are sorry, Chadema wont tolerate hooliganism kwenye jamii
 
Back
Top Bottom