Redio Clouds kurudia rudia tangazo la CDM kuna nini?

thread za kuiponda hii station zilivyokuwa nyingi humu... nikadhani hamuisikilizi hii radio.. kumbe wanafiki ni nyinyi..

Tangazo ni la mbowe kwa wanachama wake, Clouds wasipotangaza ...bado italaumiwa haiko fair......tumerogwa!!
 
Hiyo station ni ya mafisadi wa CCM,ngoja tukipata ukombozi tutaifunga kabisa,wao CCM wanapesa,mafisadi na polisi sisi Chadema tuna Mungu anayeturinda.
 
hiyo station ni ya mafisadi wa ccm,ngoja tukipata ukombozi tutaifunga kabisa,wao ccm wanapesa,mafisadi na polisi sisi chadema tuna mungu anayeturinda.

ni kosa kubwa sana kuwalaumu clouds bila ya kuangalia ground ya hilo tangazo,radio inaendeshwa kibiashara na hilo limelipiwa kwa idadi inayotakiwa litoke sasa limelipiwa na nani ? Ndiyo swali la kujiuliza ama mbowe mwenyewe ama polisi watu mlioko karibu na mbowe ebu muulizeni
 
Kuna usemi usemao ukiwa mnafiki katika ujana lazima utakuwa mchawi katika uzee wako, napata shaka sana nikifikiria uzee wa hao bandugu zetu
 
hawa majamaa wananiboa kishenzi,hawa washikaji wamekuwa haswa kikwazo dhidi ya kikwazo cha ukombozi wa pili wa tanzania,si wazalendo ila nguvu ya umma itawabadilisha 2.
 
Sijui nani anawashauri hawa wakubwa wa Clouds! Kwa miaka kama miwili sasa wamejikita mno kwenye siasa na malumbano yasiyo na tija. Hatari ninayoona hapa ni kuvugika kwa biashara huko mbeleni maana kila kukicha wanazidi kuwekeza kwenye sekta ya uadui.
 
Hii redio huwa inajiita ya watu! hivi watu wenyewe ni nyie mnayoikataa hapa au kuna watu wengine wenye fedha chafu??
 
Sasa mkisema Clouds ni tawi la CCM na JF na yenyewe ni tawi la CDM? Tuacheni ushabiki usiokuwa na manufaa, Mbowe ni kiongozi ameweza kuona yatakayo tokea kama maandamano yatakuwapo, sasa yeye ametoa tamko yasitishwe, Clouds kama chombo cha habari kinawajibika kuwaambia wananchi nini kinaendelea. Na vile kurudia rudia ni kutokana na wasikilizaji wanatofautiana nyakati za usikilizaji wa redio.
Ni kweli siyo kosa kwa radio hii kutangaza ila next time msemaji wa CDM ajue vijana wengi wenye upeo haswa wa CDM hawaipendi hii radio ya kinafiki na pengine habari nyingi kupitia radio hii hazitafika kwa walengwa....sikapendi karadio haka..!
 
Tatizo ni kua wengi wenu humu ni km wanawake mnataka watu wasifie chadema na viongozi wake kinyume chake ni kosa...mwanamke hata km hajapendeza msifie utamuona anavyojing'ata vidole...sasa this is open platform kuna ubaya gani kutofautiana na wengine...

Kwahiyo kila mwenye maoni lazima yasifie Chadema,Dr slaa na LEMA jamani hivi over 40 millions people's Hawa ndio wenye akili na hawakosei na hawapaswi kukosolewa? Basi na Mimi nitukaneni na mnikosoe ila ujumbe umefika...pumbavu vibaraka nyie
 
aise naona ccm, chama cha mamafia umeishiwa sera ---- unajua they are not reading along the lines.... Like the issue of arusha ----- wana arusha wamekesha that is up to them --- there is no reason ya ccm, na mapolisi na ffu kwenda huko uwanjani wa unga limited kuwatishia na maboom na kusingizia dr. Slaa eti amekua na pistol.

Unajua watanzania sio wajinga kiasi hicho kutanganyua tena ----- we know what they are after. ----- they delibrately planted that pistol. Sisi tunasema kama watanzania if they continue to threaten us in arusha, there will be no way but kubali kufaa kukomboa nchi hii kutoka kwa hawa wafisadi. We are alerting jakaya kikwete na mapolisi zake wasome sana alama ya nyakati..... Kandamano ni haki ya kila binadamu. Kwa hivyo hawa wakuu na huyo shemji yake kikwete amememweka nasema ule mchagga ----- akome kutuandama arusha
 
Cloud Fm imenunuliwa na huyo MIran - Rostam kwa hivyo lazima wa kandamize CHADEMA. Watapata kula yao wapi kama hawajafanya hivyo ??? CHADEMA eti TISHIO lao na hawatatuweza kamwe. Wenye akili awawezi kwa kwenye chama chafu kama CCM.
 
Tatizo ni kua wengi wenu humu ni km wanawake mnataka watu wasifie chadema na viongozi wake kinyume chake ni kosa...mwanamke hata km hajapendeza msifie utamuona anavyojing'ata vidole...sasa this is open platform kuna ubaya gani kutofautiana na wengine...

Kwahiyo kila mwenye maoni lazima yasifie Chadema,Dr slaa na LEMA jamani hivi over 40 millions people's Hawa ndio wenye akili na hawakosei na
hawapaswi kukosolewa? Basi na Mimi nitukaneni na mnikosoe ila ujumbe umefika...pumbavu vibaraka nyie


Duu! umetokea wapi wewe! ulikuwa unapiga gongo mahali umestuliwa na wenzio kuwa radio yako inashambuliwa! ha! ha! ha! Nijuavyo mie Clouds ni waburudishaji tu mwombe Joe mem & articles usome ni nini clouds kazi yao! sasa ukiona mnashambuliwa basi jua mmepotoka lengo lenu. Jisahihisheni wakati ni huu! hamtakuwa na wa kumlaumu ikiwa serikali itaongozwa na kiongozi mmoja mvuta bangi si kaka wewe mnywa gogo!
 
Tatizo ni kua wengi wenu humu ni km wanawake mnataka watu wasifie chadema na viongozi wake kinyume chake ni kosa...mwanamke hata km hajapendeza msifie utamuona anavyojing'ata vidole...sasa this is open platform kuna ubaya gani kutofautiana na wengine...

Kwahiyo kila mwenye maoni lazima yasifie Chadema,Dr slaa na LEMA jamani hivi over 40 millions people's Hawa ndio wenye akili na hawakosei na hawapaswi kukosolewa? Basi na Mimi nitukaneni na mnikosoe ila ujumbe umefika...pumbavu vibaraka nyie

wewe toa hoja zenye mashiko na sio kutoa hiyo mifano ya kipuuzi humu jamvini.Naogopa ban lakini .... huna adabu, kibaraka mkubwa weee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom