RC Chalamila: Rais Samia kaelekeza Bonyokwa iongezewe fedha ili maji yatoke Saa 24

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa eneo la Bonyokwa Jijini Dar es Salaam lina kero ya kutopata Huduma ya Maji kwa takriban Wiki 5, Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema maelekezo yametolewa kwa Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA) kuhakikisha wakazi wa eneo hilo wanapata huduma ya uhakika ya maji.

Akizungumza na JamiiForums, Chalamila amesema “Kweli kuna shida, nimefuatilia, nashukuru kuwa tayari Rais Samia Hassan Suluhu ameshaelekeza DAWASA waongeze nguvu ya kifedha ili Bonyokwa yote iwe na maji kwa Saa 24 na kazi tayari imeanza, asanteni sana, msinifiche kitu endeleeni kuwa Mabalozi.”

Hoja ya Mdau: Tabata Bonyokwa hatujaona tone la maji wiki ya tano sasa, DAWASA mnatuona manyani?
 
Masaki yenyewe kuna mahali hakuna maji 24 houra
 
Mwezi wa sita huu nimeomba kuunganishiwa maji DAWASA ya kinyerezi wanadai mita hazipo ,hizi ni siasa naona
 
Wadau naomba ushauri juu ya gar ya kununua dizain ya harrier, vangard, forester, kluger etc bei yake kwa yard zetu na ulaji wake WA mafuta
 
Back
Top Bottom