Chalamila: Kama unaona Dar kuna foleni hamia kijijini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,420

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Jumatatu Desemba 18, 2023 amesema kama kuna mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuwapo kwa foleni katika jiji hilo, ahamie vijinini.

“Kwa yeyote anayeendelea kulalamika mkoa huu labda una mambo mengi ikiwemo foleni, kuna vijiji vingi sana bado havijajaa wanaweza kuhamia huko.

“Mkoa wa Dar es Salaam upo salama na hasa kwa wakati huu wakati wa kujiandaa na sherehe mbalimbali, kila mwaka wanaimarisha ulinzi lakini mwaka huu umeimarishwa zaidi,” amesema RC Chalamila.

Hayo ameyazungumza leo katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya ustawi wa jamii na miaka 50 ya Chuo cha Ustawi wa Jamii yaliyofanyika jijini hapo.
 
Badala ya kuzungumzia ufumbuzi wa tatizo, kama kuwasihi watu waendeshe kwa ustaarabu na kwa kuzingatia sheria za barabarani, kufanya kazi tokea nyumbani kwa wanaoweza, kuboresha usafiri wa umma, n.k., yeye anarahisisha tu mambo kienyeji enyeji!

A pea-sized brain inside a humongous head.
 
Hii ndio kauli ya wiki hii kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Mwishimiwa Chalamila , kauli ambayo wadau wanadai imejaa "USELA MWINGI" sana .

View attachment 2845905View attachment 2845906
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as white people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Duuu
 
Ujinga uliokujaa akilini ni mwingi,pumbavu ww , bother yule segregator mkuu wa apartheid ni mtu wa quote misemo yake .
Kabla ya colonisation na slavery ,hamna civilisation iliyokuwa imeendelea kama Afrika.
Kingdoms kama za mansa musa ,ambayo university ya kwanza duniani ilijengwa ilikuwepo africa .
Waafrika tuache kijidhalilisha
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila leo Jumatatu Desemba 18, 2023 amesema kama kuna mkazi wa Dar es Salaam analalamika kuwapo kwa foleni katika jiji hilo, ahamie vijinini.

“Kwa yeyote anayeendelea kulalamika mkoa huu labda una mambo mengi ikiwemo foleni, kuna vijiji vingi sana bado havijajaa wanaweza kuhamia huko.

“Mkoa wa Dar es Salaam upo salama na hasa kwa wakati huu wakati wa kujiandaa na sherehe mbalimbali, kila mwaka wanaimarisha ulinzi lakini mwaka huu umeimarishwa zaidi,” amesema RC Chalamila.

Hayo ameyazungumza leo katika kilele cha maadhimisho ya wiki ya ustawi wa jamii na miaka 50 ya Chuo cha Ustawi wa Jamii yaliyofanyika jijini hapo.
The good thing we know about him ni kwamba hana akili.

The sad part ni kuwa anauthibitishia ulimwengu his state of akili😅
 
Back
Top Bottom