Ray taratibu tafadhali

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Nimemsikia Ray kwenye DW akidai eti umati wa watu uliohudhuria kuuaga mwili wa Kanumba ni mkubwa sana kuliko ule wa hayati mwl. Nyerere! Halafu eti kwenye tasnia ya filamu amebaki peke yake!

Ray acha kujiinua na wala hauko peke yako kama unavyodai. Halafu, hivi unajua Nyerere aliagwa kwa siku ngapi pale uwanja wa taifa, tena usiku na mchana? Unataka kusema umaarufu wa kanumba ni mkubwa sana kuliko ulivyokuwa / ulivyo ule wa Nyerere?
 
Msamehe ndo uwezo wake wa kufanya ulinganifu ulipofikia!Nyerere aligwa for days!
Afterall ni msanii usikute hakuwa serious!
 
kwa tunaofuatilia bongo movies mnaweza thibitisha hapa...kwamba ray hutoa movies kila mara baada ya kanumba(rip)....!na siku xote hutoa movies kwa concept ile ile ya the great...!

ray si mbunifu.....!na hatakaa awe kwenye caliber ya the great(rip)
 
kamkosea heshima mzee kifimbo,hata wageni walikuwepo ktk msiba wa mwalimu walikuwa ngazi ya juu kuliko wa huyu msanii,kweli bongo yake haina halimashauri
 
Jamani tumsamehe huyu kiumbe,baado mawazo yake ni yaleyale ya wakati ule alipokuwa akisukuma mikokoteni pale Manzese,bado kaathirika na tabia ileile ya usukumaji mikokoteni yaani ile tabia kusema bila kufikiria ,''anaanza kufikiri baada ya kusema badala ya kuanza kufikiri ndipo aseme''
 
Nimemsikia Ray kwenye DW akidai eti umati wa watu uliohudhuria kuuaga mwili wa Kanumba ni mkubwa sana kuliko ule wa hayati mwl. Nyerere! Halafu eti kwenye tasnia ya filamu amebaki peke yake!

Ray acha kujiinua na wala hauko peke yako kama unavyodai. Halafu, hivi unajua Nyerere aliagwa kwa siku ngapi pale uwanja wa taifa, tena usiku na mchana? Unataka kusema umaarufu wa kanumba ni mkubwa sana kuliko ulivyokuwa / ulivyo ule wa Nyerere?
Sasa Ray anaumaarufu gani stupido huyo??Nyerere kazikwa na Secretary of the state!Aje alinganishe na Kanumba??
 
dah kaka yangu ray wewe!!! hujui maneno ya kuongea kwenye vyombo vya habari??? haya kama hujui nyamaza!!!
alafu kitu kingine ambacho hukijui ni kwamba hayo majigambo yako ya kijinga ndo yanakushushia hadhi!
huu msiba wa rafki yako kanumba usiuchukulie hivyo maana unaweza ukakuondoa kabisa kwenye hii tasnia.
Kanumba hakuwahi kuwaomba watanzania wampende na kumlilia kiasi hiki bali maisha alokua akiishi ndo yamewafanya watu wawe na hayo mapenzi kwake
hata kama alkua na mapungufu kama binadamu yeyote alkua anajitahidi sana kutokuwakwaza wapenzi na kufanya mema mbele ya watanzani......
Badilika Ray
 
Back
Top Bottom