Ratiba ya mtihani scee 2014 imetoka ipate hapa

ehm

Member
Mar 27, 2014
46
4
RATIBA YA MTIHANI YA KIDATO CHA NNE (CSEE) MWAKA HUU INAANZA RASMI JUMATATU OKTOBA 06, 2014, NA MTIHANI WA MAJARIBIO WA CHAKULA NA LISHE (051/2 FOOD AND NUTRITION PRACTICAL ) NA KUMALIZIKA IJUMAA, NOVEMBER 28,2014.

Mwaka huu mwanafunzi atakaye tumia namba ya mwanafunzi mwingine,

ama kimakosa au kwa kudhamiria jambo hili litakuwa ni kosa la kumfutia mwanafunzi huyo mitihani yake yote.

Kwa kupata ratiba hii na maagizo kwa watahiniwa ;

:A S 109:Bofya hapa.TOSee more
 
Back
Top Bottom