Ratiba ya CCM kumpata mgombea Arumeru!!

Unaonekana huna hata uelewa mzuri wa mambo ya siasa na kwa hiyo usitoe matusi hapa JF

ccm hawana chao. tumefanya utafiti na kugundua CHADEMA itashinda kwa kishindo. wenye ccm yao walishakufa wamebaki wapambe tu. hahahaaa...!!. poleni sana ccm. badilisheni jina la chama coz ccm imepoteza mvuto kwa watu wa bara na hio itadhihirika Arumeru.
 
Uzini ilikuwa na Strategy ya chama kuipaisha PROFILE yake maana kuna wana CUF bungeni wakati wa mjadala wa katiba (LISSU alipowaambia ukweli) walitishia kumuomba msajili wa vyama afanye Audit kama CDM ina wanachama visiwani. CDM imeamua kutoa jibu la uhakika kwa kuigalagaza hiyo CUF iliyoleta uzushi na kufuta kabisa zile siasa zenu za udini. Mapigo kamili AM ambapo kijana Nassary ameishakaa mkao wa kuchukua jimbo.

Shindaneni na CCM, mbona mnaiogopa CUF?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom