Ratiba ya CCM kumpata mgombea Arumeru!!

T. 2015 CCM

Member
Feb 13, 2012
26
5
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake cha siku moja chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Taifa Dr. Jakaya M. Kikwete, pamoja na mambo mengine imetoa ratiba ya mchakato wa kumpata mgombea wa CCM kwa uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki.
Katika kikao chake hicho kilichofanyika tarehe 12/02/2012 mjini Dodoma, NEC pia imetoa ratiba ya mchakato wa kuwapata wagombea udiwani kwa tiketi ya CCM kwenye kata nane zilizotangazwa kufanya chaguzi Ndogo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
1. UBUNGE:
Katika nafasi ya Ubunge kwa Arumeru Mashariki, utaratibu utakaotumika ni ule wa kupiga kura za maoni kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo.
(i) Tarehe 13 – 18/02/2012​ Kuchukua na kurejesha fomu.
(ii) Tarehe 20/02/2012​ Mkutano Mkuu wa Jimbo kupiga Kura za maoni.
(iii) Tarehe 21/02/2012​ Kamati ya Siasa ya Wilaya kujadili Wagombea na kutoa
mapendekezo yake kwa Kamati ya Siasa ya Mkoa.
(iv) Tarehe 24/02/2012​ Kamati ya Siasa ya Mkoa kujadili Kutoa mapendekezo yake kwa Kamati kuu.
(v) Tarehe 27/02/2012 ​Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kufanya uteuzi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi.
2. UDIWANI
Nafasi ya Udiwani katika kata 8 za Tanzania Bara Katika nafasi hii kura za maoni zitapigwa kwenye Mikutano Mikuu ya Matawi.
(i) Tarehe 13 – 16/02/2012​Kuchukua na kurejesha fomu.
(ii) Tarehe 17 – 21/02/2012 Kampeni za Uchaguzi kwenye Matawi.
(iii) Tarehe 22/02/2012​Mikutano Mikuu ya Matawi kupiga kura za maoni.
(iv) Tarehe 25/02/2012 Kamati za Siasa za Wilaya kujadili wagombea na kutoa mapendekezo yake kwa Kamati za Siasa za Mikoa.
(v) Tarehe 27/02/2012​ Kamati za Siasa za Mikoa kujadili wagombea na kutoa mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu za Mikoa.
(vi) Tarehe 29/02/2012 ​Halmashauri Kuu za Mikoa kufanya uteuzi wa wagombea.

Katika hatua nyingine Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imepokea maelezo juu ya mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya na maelezo juu ya mgomo wa madaktari nchini.
Kwa ujumla NEC imepokea maelezo hayo kutoka serikalini na kuiagiza serikali kukamilisha mchakato wa kumaliza kabisa mgogoro wa madaktari nchini na kuhakikisha migogoro ya namna hiyo inashughulikiwa mapema ili isiwe na madhara makubwa kwa wananchi.
NEC imeridhishwa na jinsi mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya unavyoendelea na kuipongeza serikali kwa jinsi inavyolisimamia swala hilo. Imewataka wana CCM na wananchi wote kushiriki mchakato huo, huku wakizingatia kutunza amani na utulivu uliopo nchini.
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imewapongeza viongozi, wanachama na wananchi wa Mkoa wa Mwanza kwa jinsi walivyofanikisha sherehe za miaka 35 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi ambapo kitaifa mwaka huu zilifanyika mkoani humo.
Sherehe hizo ziliandaliwa na kufanikiwa kwa kiwango cha hali ya juu kabisa, hivyo NEC inawapongeza kwa kufanikisha sherehe hizo.
Pamoja na Mkoa wa Mwanza NEC inawapongeza wanachama, viongozi na wananchi kwa ujumla nchi nzima kwa jinsi walivyofanikisha sherehe hizo za miaka 35 ya kuzaliwa kwa CCM kwenye maeneo yao.
 
Matusi ya namna hiyo hurejea kwa mtukanaji pale kile wanachojiahidi kabla ya muda wanapokikosa, na baadae kubakia wakitunga na kuzusha hoja mfilisi, ili kujikosha mbele ya umma, mpaka sasa hakuna mshindi, kule Arumeru Mashariki, jimbo lipo wazi na vyama vyote vina haki ya kuingiza miguu na kushiriki kuwania kiti hicho, sasa ya kidole, mara CDM ******** yanatoka wapi, au ndo aina mpya ya Ku-Think Big hiyo??????????? xqywz$$*&^@!hxwz
 
ushindi wa CCM arumeru ni dhahiri kuliko igunga. Arumeru ccm wanashindda asbh tu. Ngoja mwigulu jembe letu likapige kambi. Tupe raha mwigulu. Wanaokuchukia wajinyonge. lile walizusha halikuwa ushindi sasa wazushe umechukua wambowe kabisa
 
Uchaguzi wa Arumeru utawatia kidole ccm.

angalia hii

Chama cha Mapinduzi5377
Chama cha Demokrasia na maendeleo281
Chama cha Wananchi223
TADEA14
FFP8
Kura zilizopigwa5902
Kura zilizoharibika28

Wasiopiga kura
2852
 
ushindi wa CCM arumeru ni dhahiri kuliko igunga. Arumeru ccm wanashindda asbh tu. Ngoja mwigulu jembe letu likapige kambi. Tupe raha mwigulu. Wanaokuchukia wajinyonge. lile walizusha halikuwa ushindi sasa wazushe umechukua wambowe kabisa
Natamani nichukue bunduki nikumalize kabisa ,inauma kweli kwamba kuna watu wanashabikia majizi yaliyokubuhu namna hii,iko siku lakini
 
Unaringanisha wameru na wanyamwezi...

Nenda kajifunze historia then urudi tena ku comment, Igunga sio Arumeru bwa sheeee wameru hawanasi kwenye chambo cha chakula cha msaada.

hayo ni majibu mepesi kwa maswali magumu.subiri utaja nambia mana kwa mdomo hamjambo.juzi mlikuwa mnachonga uzini leo kimya myamba..f zenu
 
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa katika kikao chake cha siku moja chini ya uenyekiti wa Mwenyekiti wa Taifa Dr. Jakaya M. Kikwete, pamoja na mambo mengine imetoa ratiba ya mchakato wa kumpata mgombea wa CCM kwa uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru Mashariki.
Katika kikao chake hicho kilichofanyika tarehe 12/02/2012 mjini Dodoma, NEC pia imetoa ratiba ya mchakato wa kuwapata wagombea udiwani kwa tiketi ya CCM kwenye kata nane zilizotangazwa kufanya chaguzi Ndogo na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
1. UBUNGE:
Katika nafasi ya Ubunge kwa Arumeru Mashariki, utaratibu utakaotumika ni ule wa kupiga kura za maoni kwenye Mkutano Mkuu wa Jimbo.
(i) Tarehe 13 – 18/02/2012​ Kuchukua na kurejesha fomu.
(ii) Tarehe 20/02/2012​ Mkutano Mkuu wa Jimbo kupiga Kura za maoni.
(iii) Tarehe 21/02/2012​ Kamati ya Siasa ya Wilaya kujadili Wagombea na kutoa
mapendekezo yake kwa Kamati ya Siasa ya Mkoa.
(iv) Tarehe 24/02/2012​ Kamati ya Siasa ya Mkoa kujadili Kutoa mapendekezo yake kwa Kamati kuu.
(v) Tarehe 27/02/2012 ​Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kufanya uteuzi wa mgombea wa Chama Cha Mapinduzi.
2. UDIWANI
Nafasi ya Udiwani katika kata 8 za Tanzania Bara Katika nafasi hii kura za maoni zitapigwa kwenye Mikutano Mikuu ya Matawi.
(i) Tarehe 13 – 16/02/2012​Kuchukua na kurejesha fomu.
(ii) Tarehe 17 – 21/02/2012 Kampeni za Uchaguzi kwenye Matawi.
(iii) Tarehe 22/02/2012​Mikutano Mikuu ya Matawi kupiga kura za maoni.
(iv) Tarehe 25/02/2012 Kamati za Siasa za Wilaya kujadili wagombea na kutoa mapendekezo yake kwa Kamati za Siasa za Mikoa.
(v) Tarehe 27/02/2012​ Kamati za Siasa za Mikoa kujadili wagombea na kutoa mapendekezo yake kwa Halmashauri Kuu za Mikoa.
(vi) Tarehe 29/02/2012 ​Halmashauri Kuu za Mikoa kufanya uteuzi wa wagombea.

Katika hatua nyingine Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imepokea maelezo juu ya mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya na maelezo juu ya mgomo wa madaktari nchini.
Kwa ujumla NEC imepokea maelezo hayo kutoka serikalini na kuiagiza serikali kukamilisha mchakato wa kumaliza kabisa mgogoro wa madaktari nchini na kuhakikisha migogoro ya namna hiyo inashughulikiwa mapema ili isiwe na madhara makubwa kwa wananchi.
NEC imeridhishwa na jinsi mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya unavyoendelea na kuipongeza serikali kwa jinsi inavyolisimamia swala hilo. Imewataka wana CCM na wananchi wote kushiriki mchakato huo, huku wakizingatia kutunza amani na utulivu uliopo nchini.
Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imewapongeza viongozi, wanachama na wananchi wa Mkoa wa Mwanza kwa jinsi walivyofanikisha sherehe za miaka 35 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi ambapo kitaifa mwaka huu zilifanyika mkoani humo.
Sherehe hizo ziliandaliwa na kufanikiwa kwa kiwango cha hali ya juu kabisa, hivyo NEC inawapongeza kwa kufanikisha sherehe hizo.
Pamoja na Mkoa wa Mwanza NEC inawapongeza wanachama, viongozi na wananchi kwa ujumla nchi nzima kwa jinsi walivyofanikisha sherehe hizo za miaka 35 ya kuzaliwa kwa CCM kwenye maeneo yao.

Hongera zenu kwa mpango kazi mzuri! yaliyotokea Uzini na Igunga ndiyo tunayoyategemea Arumeru mashariki.
 
Natamani nichukue bunduki nikumalize kabisa ,inauma kweli kwamba kuna watu wanashabikia majizi yaliyokubuhu namna hii,iko siku lakini

ha ha ha ha ha unachekesha kweli wewe,unadanganywa na wachaga unaingia kwenye mtego.
mwizi ni m..b..o ...w.,.,e
 
Hongera zenu kwa mpango kazi mzuri! yaliyotokea Uzini na Igunga ndiyo tunayoyategemea Arumeru mashariki.

usiwadanganye wanajamvi,mi ni mmeru na nipo usa river,huku maagamba hakuna,ishazikwa.kama mwigulu wenu ataleta pesa si hatukatai tunazila na nyingine tunampa Nasary apigie mikutano.
 
Hizi chaguzi zinaifilisi sana CCM na serikali yake................ By 2015 naona hata wafadhiri wa ufisadi nao watakuwa wameishia!!!
 
hayo ni majibu mepesi kwa maswali magumu.subiri utaja nambia mana kwa mdomo hamjambo.juzi mlikuwa mnachonga uzini leo kimya myamba..f zenu
Uzini ilikuwa na Strategy ya chama kuipaisha PROFILE yake maana kuna wana CUF bungeni wakati wa mjadala wa katiba (LISSU alipowaambia ukweli) walitishia kumuomba msajili wa vyama afanye Audit kama CDM ina wanachama visiwani. CDM imeamua kutoa jibu la uhakika kwa kuigalagaza hiyo CUF iliyoleta uzushi na kufuta kabisa zile siasa zenu za udini. Mapigo kamili AM ambapo kijana Nassary ameishakaa mkao wa kuchukua jimbo.
 
Huko itakuwa tu CCM CCM aahhkhh chama cha Mapinduzi CCM namba one!!! na Chama Gani Chama Cha Wananchi CUF, pia Chadema chadema People's Power. mpaka Aprili mwanzoni, duu nim mapambano ya kutisha!!, but natabili ushindi kwa CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom