Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,658
- 4,866
Kufikia jana Whatsapp za Tanzania zilianza kupokea updates mpya ya Channels, kwenye sehemu ya chini ya Whatsapp Status. Utakuwa na uwezo wa kupata Habari kupitia Channels utakazoamua kuzifollow
Jinsi ya kupata Update hii mpya hakikisha simu yako inatumia tolea jipya la Whatsapp na kama hautumii hakikisha unaenda playstore na ku-update Whatsapp yako. Kisha baada ya masaa kadhaa itaweza kuona Feature hii mpya.
Wamejaribu kuiga Telegram lakini bado Channels hizi hazina uwezo mkubwa kama Channels za Telegram. Ni hivi punde wata-introduce A.I kwenye mfumo wao ambayo utakuwa na uwezo wa kuuliza swali lolote na ikakujibu na kadharika.
Mimi binafsi sijapenda jinsi Picha zinavyoji-download zenyewe automatically kwa sisi ambao hatupendi picha za ku-download zenyewe nimetafuta kipengele cha kuondoa automatic download za channel sijaona