OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,244
- 103,937
Klabu ya Simba katika kuendelea kuimarisha kikosi chake kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu na michuano ya Kimataifa msimu wa 2022/23, leo Agosti 7, 2022 wametangaza rasmi kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa magoli, Dejan Georgijevic (28) raia wa Serbia kwa mkataba wa miaka miwili akitokea NK Domzale FC ya nchini Slovenia.
"Taarifa rasmi ikufikie kwamba mshambuliaji wa magoli, mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Serbia ni Dejan Georgijevic ni MNYAMA". Imeeleza kwa ufupi taarifa kutoka kwa Klabu ya Simba SC.
Leo hakuna kumpumzika. Overdose mwanzo mwisho