Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wadau,

Pitia rasimu ya 2 ya katiba. Mimi sijaona mengi mapya tofauti na ile ya kwanza isipokuwa ibara kuongezeka kwenda 260 na ushee.
Lakini inahitajika muda zaidi kuisoma na kuichambua ili kugundua mawazo ya mabaraza ya katiba.

Naomba kuwasilisha

Joshua Bukuru
Brussels
 

Attachments

  • RASIMU YA KATIBA (Final).pdf
    1 MB · Views: 3,995
Nimefurahi kuona sasa jina Tanzania Bara kwenye rasimu halipo sasa kuna neno Tanganyika., shabbash wamekwishaa
 
Asante Prof. Nimeipitia, Nimeikubali, hope bunge la katiba litatenda haki na kukubali maoni ya Umma.
 
tuwekeeni japo kwa ibala chache chache ili simu zisizo na uwezo ziweze kufungua ili tuisome na sisi
 
Kazi nzuri ya Jaji Warioba....................... kumbe walimwua Mvungi wa watu haijawasaidia
 
Back
Top Bottom