Rasimu ya II ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hii katiba inaweza kuanza kutumika uchaguzi ujao wa 2015? Nadhani muda unatosha kuisoma na kipitia ili hatimaye ifanye kazi 2015
 
Rasimu ni nzuri kuna mambo mengi ambayo yalipendekezwq na wananchi yameinekana... Msaada pale kwenye Ibara ya 63 kama sijaelwwa!!
 
asante ila nyie maprofesa uwa mna manakala mengi sana, ivi si unaweza kututaftia hata nakala ya hati ya Muungano?na najua unayo ramani ya tanganyika kwenye briefcase yako profesa, vipi waweza kutusaidia? na wimbo wa Tanganyika na bendera yake,,,,ukifika posta ya zamani pale, kaa kwenye bustani fungua iyo briefcase yako ,japo kwa uzee wa nyaraka na briefcase imefungwa kwa mipira ya tube za baiskeli ila utakuwa umetusaidia sana...prof ukiweza kupata ile KATIBA ya TANGANYIKA itakuwa bora tusitunge nyingine, ni kuizindua tu....ASANTE PROF.
 
That was swahili and i am not good on that but what I meant was Article and not section as fundamentally I know that any important any document drafted and which may be a grundnorm or fundamental norm to support all other legal norms of that system, then generally it is differentiated from the ordinary municipal laws by referring to its clauses as articles rather than sections, and one being that Rasimu (constitutions of a countries), others are such as United Nations Charter, International Conventions, etc. from where other laws or rules originate. So my dear Amavubi don't think I mentioned kifungu out of my ignorance. Hata hivyo asante
Chote ni kiswahili sikumanisha Section nilimanisha Article
Ni ibara siyo kifungu
 
Nafikiri maswali yote ya muhimu kwenye rasimu 1 na ya 2 ya katiba yalipendekezwa na mtaalamu kwenye makala zake kwenye Citizen na the Guardian hapo nyuma. Nilisoma kwa makini sana alichoandika huyo profesa nadhani mengi yalinigusa. Kama uraia wanchi mbili wamemkubalia, lakini mapendekezo yake in mengi. Hebu tuitafakarii tumtafute atupe mwongozo ikibidi. Naona anaishi abroad. Hebu soma article hizi tatu naona zina mambo mazuri:
Part 1: Home
Part 2: Home
Soma: New basic law: Any difference? - National - thecitizen.co.tz
 
Back
Top Bottom