Rashid Othman ndiye Boss wa Usalama

Status
Not open for further replies.
To keep up with the new spirit of the forum, I call upon the admin to delete Kivuli's post .. and ban him if he repeats.

Kwa wengineo, naomba msiwe provoked na kumrudishia matusi huyu bwana.
 
Mzee Murangira,

Hakuna la kuongeza, ninajiuliza one question watu wenye busara kama wewe mlikuwa wapi siku zote, na ubarikiwe bro!

CV ya RO kama ni muhimu at this point inapaswa kuletwa na wale wanaompalilia, mimi siwezi kuitafuta hiyo CV kwa sababu sikuja hapa kumtetea na kumpalilia tuuu kama kipofu, sasa tunampalliaaje mtu ambaye hata CV yake hatuna? Badala yake tunadai hatuna CV, lakini kila siku tunaitoa hiyo hiyo CV kwa ujanja na kuigeuza geuza, wakati watu wenye akili hapa tumeshajua kuwa mnayo ila tu mnachagua ya kuweka hapa,

Tunaangalia mambo na objectivity, ndio maana ninasema so far mmeniongezea 15%, jumla imekuwa 25%, in the last three days nimeingia uvunguni na kumfukua kikamilifu huyo mzee RO, tena kwa undani sana ninasema tuliyosema yametosha na sitaongeza tena, tumesema ya kutosha sasa kama RO ni mtu mwenye busara ni wakati wa kuyarekebisha mabovu na kuongeza mazuri,

ajifunze kuwa hapo alipoingia ni taifa sio London tena na mambo ya Papaaa na Njenje, maisha na usalama wa kuanzia raia, mpaka viongozi wetu yamo mikononi mwake, JK hawezi kufanya yote yaani urais na usalama, HAPANA! Tuchape kazi na tuache unafiki, tunajua kuwa kuna viongozi ambao tukiwa kwenye uchaguzi walikuwa ni sumu ya Mtandao, lakini sasa uchaguzi umeisha tunaangalia mbele na kuwa taifa moja,

Waandishi wetu wameenda likizo, tunayoyafanya hapa yalitakiwa kufanywa na magazeti yetu na redio, pamoja na TV, sasa kwa sababu wamesafiri wananchi tumeamua kuchukua hili jukumu sisi wenyewe mikononi mwetu, hatuwezi kunyamazishwa hata watumwe watu mia moja humu kutuhadaaa, we are not sleeping, tutaendele a kuja hapa na majina yetu ya bandia na kuuliza tusipoelewa, na tutawauliza viongozi wakubwa sio wadogo!

Tumechoka kuchezewa, kuonewa na kunyonywa, na wengine bado wanajaribu kuja hapa kutunyanyasa, tunasema ENOUGH! Fanyeni kazi tutawapa heshima kwa kazi yenu kwa wananchi, lakini sio kuwanunua waandishi na kututumia watu wenu hapa kutuhadaa na maneno mengi ya ulaghai, na tutaendelea kuwachimba ili kuhakikisha kuwa mnafuata sheria kama mnavyotaka sisi tuzifuate yaani wananchi,

Mambo yenu yote tunayaona tena waziiii, nafikiri na nyinyi wenyewe mmeona hapa tunavyomwaga ukweli, manapeleka watoto wenu hukoooo tunawaona, wengine mnawadai wahindi rushwa tunawaona na tuna-record kila kitu, hizi porojo hapa hazizuiii kitu chochote, tunawaangalia kwa macho mawili,

Mzee RO, ninasema tena kuwa Kombe aliwafikisha mahali wazee wa huko usalama wakawa wanasafiri na viongozi bila per-diem, wakati yeye anaenda London na dola laki tatu-mpaka nne, M16 wakaingia hotelini mwake akiwa hayupo na kuzikuta na kuwafahamisha wakubwa wetu na kuzirudisha bongo, wananchi wakashitaki kwa wakubwa mwisho wakachoka, maana walikuwa wanakula naye kwa hiyo jibu likawa "....wananchi tutachunguza....", wananchi wakaamua kuchukua sheria mikononi mwao, Boom! Boom! Boom, Bang! mchezo ukaisha,

wewe ni kijana tena mtoto wa mjini sasa fanya mambo tofauti, na huyu Mzee wetu JK lazima uwe mkali naye na hasa hawa marafiki zake, kisheria wewe huchukui amri kutoka kwake, alipokuapisha tu alikabidhi usalama wake na familia yake na serikali nzima mikononi mwako, kwa hiyo mchezo uishe tunataka mabadiliko na maendeleo,

Sisi wananchi ni wepesi sana kusahau ya nyuma, kama ya sasa yanakubalika!
 
Kivuli,

Ndio, kulikuwa na matusi mengi makubwa ya wengineo huko nyuma... lakini kuanzia jana uamuzi wa wengi na 'senoiors' wetu humu ni kuwa matusi basi. Sasa ni hoja tu. Kwa hiyo itakuwa vizuri na wewe ukiungana nasi katika hii policy mpya ya kutokuwa na matusi na kuheshimiana hata kama tunatofautiana mitazamo.
 
Kijana mgeni hii forum ni kubwa sana kuliko ujinga wako unaounyesha hapo na michango yako minne tu!, Mimi sina shida kabisaa na mtu kama wewe ila nashangaa mlivyoniing'ang'ania tuuu, wewe huwezi kunifundisha cha kuandika na wala huwezi kunilazimisha kuandika matusi, yaani na mimi niwe low life kama wewe!,

NO bro peleka matusi yako mbele, maana unaonekana ni suicidical person, tena ninawasi wasi kama umetoa umri wako wa kweli maana unaonekana ni huzidi umri wa miaka 13, ninaamini kuwa you have nothing to do na RO, maana kama ana marafiki kama wewe, then tutakuwa na matatizo makubwa,

Ninakwambia hivyo kwa sababu mimi binafsi ni rafiki wa viongozi wengi ninaowaongelea humu, sasa nina-assume kuwa hiii energy yako na RO kuwa mna urafiki, I pray to Allah! kuwa wewe sio rafiki yake RO! Maana kama ni rafiki yake then ukweli unajisema wenyewe!
 
Wewe kwangu ni nothing, unataka nikujibu nini? Hapo mjini mimi ninakaa Kunduchi Beach, nomesoma Primary pale Kidongo Chekundu, Sekondari nimesoma Kinondoni Muslim, nikawa DJ Mbowe na YMCA, nikawa Baharia Greece, Nikaenda US nikajisomesha Dgree Mbili, nikarusi Bongo kuwa mwanasiasa,

Na nilizaliwa Shimo la udongo, je hiii CV inanifanya niwe Mtindiga?
 
Wewe mtoto wa mjini ya wapi? Nenda pale Kariakooo waulize kina Gebo Peter na Desai, watakufahamisha Es ni nani, Tanga sio Dar bro!
 
Unajua sasa inabidi nikutaje kwa jina, Mzee Kivuli you are very interesting character hiyo lazima nikubali, nini matatizo yako muuungwana?
 
Yes, kabla hujapewa heshima ya kutoa hukumu kwa SENIORS hapa,

Ni lazima uanze na JUNIOR, MEMBER, ndio upewe heshima ya kuwa SENIOR MEMBER, au RO hajakwambia kuwa huko serikalini kuna SENIORS na JUNIORS?
 
Kuhusu habari za ukimwi nenda kwenye websites za wabongo wa TEXAS, utakuta orodha kamili ya wasichana wabongo wenye ngoma huko US, na orodha ya wanaume wote wabongo wenye ngoma huko US,

Hapo umenionea buree kwenye la ukimwi na utakuta huyo anayekuhusu yumo tena mstari wa kwanza, sio mimi bro!
 
Kuhusu Pumba, ni kwamba mimi nilianzia kutoa pumba nikiwa kule BCS na ambazo mapak leo bado nazitoa, sasa nashangaa watu werevu kama wewe kuvutiwa na pumba zangu mpaka kutoa matusi ya mtaani, kwenye forum za kwenye mtandao mahali ambapo ni pa kimataifa, yaani hapa watu wa mataifa mbali mbali wanaingia,

Tena pumba zangu at its best, zilimfanya hata marehemu professor kule tanzanet, aniombe mara nyingi nihamie kule, hivi unaijua tanzanet? Hebu nenda kule ukatoe huu UEREVU wako uliouweka hapa, halafu uje uchambue pumba zangu!
 
kwanza wakati othman yupo ubalozini Radhia hakuwepo, halafu Amina siyo Radhia- ndiyo ni ndugu lakini ni watu tofauti. Amina hana uhusiano wowote na ubalozini na kama unataka ushaidi mie naweza kukupa jina langu na email yangu na wapi naashi. Jamani acheni uongo na majungu kama haya toeni facts zinazoeleweka.

Kama watuwalikua wanamfanyia ubaya Balozi kibelo basi ni watu wengine kabisa. Balozi Kibelo ni mtu mmoja ambaye ni mtu mzuri sana ¨na yote haya mie naona ni njie watu ambaye hamna facts kamili na kusema mambo kama haya. Jamani tafuteni kazi mfanye, kuliko kumwaga uuongo kama huu. Mie nilikua naona foruma hi inaweza kua namambo mazuri sana lakini kweli imenisikitisha.

Du!!!

watanzania wengine!??!!




Mzee Es said:
Huyu jamaa alikuwa London, afisa ubalozi yaani agent wa kawaida wa usalama pale, sasa nilishawahi kumuongelea kule BCS, kwani kazi yake kubwa ilikuwa kumfixia mzee JK, vimwana pale,

recently list ilikwenda down to kati yake na mzee mmoja yuko Zaire, ambaye ni kabila la mzee, kwa hiyo tulitegemea kuwa ndiye angeingia, kwa kweli baada ya uchaguzi huu, nimenyoosha mikono na mzee wangu JK!

Huyu ndiye jaamaa aliyekuwa akifanya kazi ya ziada na mzee Salva Rweyemamu kumuondoa Kibello, pale London. Zile kelele zote za magazeti juu ya Kibello na habari za mfanyakazi wake wa ndani zilikuwa zinakuwa engeneeered na huyu jamaa, akishirikiana na mama mmoja pale ubalozini London anayeitwa Amina(mdogo wa mama Migiro), jamani!

Mungu aibariki Bongo, kama kweli huyu kijana Othumani anaweza kuchukua nafasi ya Abson! Sina nguvu tena!
 
Acheni uongo na majungu, hizi ni fikira za umasikini wa akili. Radhia hakuwepo London pamoja na Othman, wala Othman hawezi kufanya vitu kama hivyo. Na amina hafanyi kazi ubalozini. Kwanini mna tabia kama hiyo. Zungumzeni mamabo yanayo eleweka kuliko haya majungu na uwongo. Leteni maendeleo Tanznai kuliko hizi fikira chafu !!!
 
Ogmulik,

Karibu sana kwenye forum. Naomba kukuuliza, katika Threads zooote za kutaka kuijenga Tanzania kimaendeleo, umeonelea uchangie hii tu, tena kwa mara ya kwanza. WHY???? mimi kwa mara ya kwanza sikuchangia kumtetea mtu, nilichangia kutetea issue!, kwani kutokuwepo ubalozini kunamshinda mtu kufanya/kula njama dhidi ya mwingine?.

Ukitaka hoja ikubaliwe, TOA FACTS. Ukitoa FACTS kisha ukamalizia na dharau au kushambulia mtu, watu hawakusikilizi bali wanaendeleza personal mashambulizi na kukuona pia huna hoja.. Thats a lesson number one!

Karibu
 
Ogmulik,

Karibu sana kwenye forum. Naomba kukuuliza, katika Threads zooote kwenye hii forum za kutaka kuijenga Tanzania kimaendeleo, umeonelea uchangie hii tu, tena kwa mara ya kwanza. WHY???? mimi kwa mara ya kwanza sikuchangia kumtetea mtu, nilichangia kutetea issue!, kwani kutokuwepo ubalozini kunamshinda mtu kufanya/kula njama dhidi ya mwingine?.

Ukitaka hoja ikubaliwe, TOA FACTS. Ukitoa FACTS kisha ukamalizia na dharau au kushambulia mtu, watu hawakusikilizi bali wanaendeleza personal mashambulizi na kukuona pia huna hoja.. Thats a lesson number one!

Karibu
 
FD wacha kupoteza muda wako kwanza anagalia jina lake na maneno yake then utajua akili yake inaelekea wapi ni wale wale ? Siku zoote wanasoma tu ila ukigusha interest zao wanazuka sasa tukate issue mwache huyu kesha dharaulika kumjibu ni kumpa kichwa achana naye tuendelee na issue hapa .
 
Habari Fikira duni,
Ahsante sana kwa kunielimisha. Mie kitu ambacho kinasikitisha ni kwamba fakts zilizotolewa zilikua si za kweli sasa kama mtoa fakts kwanza amekosea majina, pili mda ambao anatoa si wakweli. Mie nitachukulia kila anachotoa si cha kweli.

Maendeleo yanajengwa na ukweli kama base yako ni yauwongo basi nyumba yako itaanguka: this is lesson nr 2.

Wewe unaonaje? kama jina lako likitajwa na unasingiziwa mambo ambayo sio kweli je utafanyaje wakati wewe unajua ukweli wa mambo si utawaambia hao wazushi waache majungu? Lazima utetee ukweli.

Na kwanini nisichukue thread hii? kwanini nisitetee ukweli? Nani kati yetu alikua na RO au Radhia au Amina au JK? Unajua kwaliti ya forum ni jinsi watuwanavyo pendekeza issues zao, kama wanaukweli mie sina matatizo, lakini nikiona kunauongo na ninafahamu hii hapa ni kuonewa lazima nitasema. Tukija kwenye mambo ya filosofia, dini au folk tales hapo mie sitaweza kusema kitu, ni jinsi ya mtazamo wa kila mtu binafsi lakini kwenye watu na vitendo vyao Ndugu fikiraduni mie natachangia.

Dharau sina ni labda nilivyo tumia maneno yangu, kama umeelewa hivyo naomba msama. Lakini nasema wakati watu wanawataja wenzio basi ni lazima uwe nafakts ambazo ni sawa.

Ahsante
Ogmulik.
 
Chifu Ihunyo said:
FD wacha kupoteza muda wako kwanza anagalia jina lake na maneno yake then utajua akili yake inaelekea wapi ni wale wale ? Siku zoote wanasoma tu ila ukigusha interest zao wanazuka sasa tukate issue mwache huyu kesha dharaulika kumjibu ni kumpa kichwa achana naye tuendelee na issue hapa .
Sawa Chifu, kama hii siyo dharau sijui ni nini. Hata hivyo nashukuru, lakini msimamo wangu upo pale pale. Mpate fakts sawa sawa. halafu ndio kuzungumza, kuto kujibu sio kwamba kusaidia kitu. Mie sina ugomvi na mtu ila nasema musiwe waoga wa kutetea haki, kwani siwe wote chifu ni watu na hukutana (kama hatujaona au kuzungumza kwenje simu :))
 
Quote: "FD wacha kupoteza muda wako kwanza anagalia jina lake na maneno yake then utajua akili yake inaelekea wapi ni wale wale ? Siku zoote wanasoma tu ila ukigusha interest zao wanazuka sasa tukate issue mwache huyu kesha dharaulika kumjibu ni kumpa kichwa achana naye tuendelee na issue hapa"

Chifu!! Jina langu lina nini? wewe ni ndugu yangu kama mwenyewe unavyo jua sasa hii mkata issue hii mambo yakuzima watu imeanza lini?. Ndio mie nimedharauliwa na mwenzangu unaheshimika sana nakubali. Lakini mambo yako pale pale lazima kuwa nafakts kamili wakati unataja watu kwasababu character assisination ni mbaya sana kama mambo si kweli. Na mie nakwambia hivyo kwasababu najua ukweli.
 
Naitwa msemakweli mzee wa kazi, nimevutiwa na baadhi ya washirika ktk mtandao huu na kushangazwa na wengine, hao wanaojidai ndio wazee wa mtandao huu mbona wanataka kumkacha KIVULI? Hasaa huyo ES, nyie si wafumbuzi wa mambo? Mjibuni basi Kivuli tufurahi, mzee wa kidongo chekundu jibu.......misheni kota mjini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom