Mzee Es said:Huyu jamaa alikuwa London, afisa ubalozi yaani agent wa kawaida wa usalama pale, sasa nilishawahi kumuongelea kule BCS, kwani kazi yake kubwa ilikuwa kumfixia mzee JK, vimwana pale,
recently list ilikwenda down to kati yake na mzee mmoja yuko Zaire, ambaye ni kabila la mzee, kwa hiyo tulitegemea kuwa ndiye angeingia, kwa kweli baada ya uchaguzi huu, nimenyoosha mikono na mzee wangu JK!
Huyu ndiye jaamaa aliyekuwa akifanya kazi ya ziada na mzee Salva Rweyemamu kumuondoa Kibello, pale London. Zile kelele zote za magazeti juu ya Kibello na habari za mfanyakazi wake wa ndani zilikuwa zinakuwa engeneeered na huyu jamaa, akishirikiana na mama mmoja pale ubalozini London anayeitwa Amina(mdogo wa mama Migiro), jamani!
Mungu aibariki Bongo, kama kweli huyu kijana Othumani anaweza kuchukua nafasi ya Abson! Sina nguvu tena!
Sawa Chifu, kama hii siyo dharau sijui ni nini. Hata hivyo nashukuru, lakini msimamo wangu upo pale pale. Mpate fakts sawa sawa. halafu ndio kuzungumza, kuto kujibu sio kwamba kusaidia kitu. Mie sina ugomvi na mtu ila nasema musiwe waoga wa kutetea haki, kwani siwe wote chifu ni watu na hukutana (kama hatujaona au kuzungumza kwenje simu )Chifu Ihunyo said:FD wacha kupoteza muda wako kwanza anagalia jina lake na maneno yake then utajua akili yake inaelekea wapi ni wale wale ? Siku zoote wanasoma tu ila ukigusha interest zao wanazuka sasa tukate issue mwache huyu kesha dharaulika kumjibu ni kumpa kichwa achana naye tuendelee na issue hapa .