Ramani za Nyumba

khauka

Senior Member
Jan 26, 2011
100
4
Kwa wale watakao hitaji ramani za nyumba, mimi ni Architect lakn bado siawa registered.. So kwa sasa nafanya residential Houses peke yake. Tuwasiliane kwa wale watakaokuaintrested, tuwasiliane. 0715321662 Tafadhali tusiwe wasumbufu kama sio muhitaji
 
Attachments

  • ACCamera (4).jpg
    ACCamera (4).jpg
    111.1 KB · Views: 2,070
  • ACCamera.jpg
    ACCamera.jpg
    122.2 KB · Views: 1,903
  • ACCamera_1 (2).jpg
    ACCamera_1 (2).jpg
    90.8 KB · Views: 2,634
  • ACCamera_5.jpg
    ACCamera_5.jpg
    104 KB · Views: 1,916
Kaka unauhakika hizi ni zako?
Hujawahi kumpaga mtu hizi??
Maana ninazo hizi sample pia alinionyeshaga Architect mmoja hivi.
 
Ni zangu. kama ni Architect basi hamna shaka, kwa namna moa au nyingine zinaweza zikawa zimemfikia au labda zinafanana pia.
 
appatments
 
Attachments

  • C 4.jpg
    C 4.jpg
    619 KB · Views: 1,020
  • C 3.jpg
    C 3.jpg
    832.7 KB · Views: 733
  • C 2.jpg
    C 2.jpg
    900.7 KB · Views: 860
  • C 1.jpg
    C 1.jpg
    626.4 KB · Views: 959
Kwa wale watakao hitaji ramani za nyumba, mimi ni Architect lakn bado siawa registered.. So kwa sasa nafanya residential Houses peke yake. Tuwasiliane kwa wale watakaokuaintrested, tuwasiliane. 0715321662 Tafadhali tusiwe wasumbufu kama sio muhitaji

Hii kazi shilling ngapi?
Na unatoa ramani ngapi?
 
Picha za nyumba ni nzuri na ninahitaji ramamni ya nyumba ya kuishi ya kisasa ya gharama ya kati. Simu yako nimeiona ila nahisi bei ya ramani itakuwa juu; ukweli nahitaji ramani
 
Bei inategemea na design unayotaka lakini sio bei yakutisha sana, Ramani nazotoa ni zote zinazohitajika hadi nyumba kusimama pamoja na michoro ya 3D..
 
Tuwasiliana kesho kama itawezekana naamini hakuna kinachoshindikana ni maelewano tu.
 
Bei inategemea na design unayotaka lakini sio bei yakutisha sana, Ramani nazotoa ni zote zinazohitajika hadi nyumba kusimama pamoja na michoro ya 3D..

Wacha kamba .... .... ..... sasa hizo za 3D si za mbwembwe tu
 
house 2
 
Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    81.8 KB · Views: 746
  • 1.jpg
    1.jpg
    68.2 KB · Views: 756
  • 4.jpg
    4.jpg
    966.7 KB · Views: 736
  • ACCamera.jpg
    ACCamera.jpg
    689.8 KB · Views: 751
Mmh.. mbona unakua na jazba mkuu, 3D inatumika kuonyesha picha tarajiwa ya kile kilicho disgniwa kwenye hiyo michoro mingine niliyosema ambayo mara nyimgi watu wengine wanakua hawaielewi sana kwa sababu hiyo michoro anapewa fundi kwa ajili ya kujengea na ndio maana siku hizi tunatoa na 3D ili client aweze kuelewa zaidi.
 
<strong><font size="4"><font color="#b22222">Wacha kamba .... .... ..... sasa hizo za 3D si za mbwembwe tu</font></font></strong>
<br>

Mmh.. mbona unakua na jazba mkuu, 3D inatumika kuonyesha picha tarajiwa ya kile kilicho disgniwa kwenye hiyo michoro mingine niliyosema ambayo mara nyimgi watu wengine wanakua hawaielewi sana kwa sababu hiyo michoro anapewa fundi kwa ajili ya kujengea na ndio maana siku hizi tunatoa na 3D ili client aweze kuelewa zaidi.</span>
 
Mmh.. mbona unakua na jazba mkuu, 3D inatumika kuonyesha picha tarajiwa ya kile kilicho disgniwa kwenye hiyo michoro mingine niliyosema ambayo mara nyimgi watu wengine wanakua hawaielewi sana kwa sababu hiyo michoro anapewa fundi kwa ajili ya kujengea na ndio maana siku hizi tunatoa na 3D ili client aweze kuelewa zaidi.

Nahitaji nyumba ndogo ya gharama nafuu yenye 3 bedrooms (moja iwe master), Dining, jiko, sitting room na public toilet/bathroom. Paa simple ambalo halihitaji ukataji mwingi wa bati. Preference m2 80 ikizidi sana 90. Bei yako hapo ikoje kwa kuanzia?Ni pm kama hupendi kuweka hapa. Asante!
 
Kwa nyumba ndogo kama hyo ntakufanyia laki 4 bila kucertify (kupiga muhuri wa Architect) na ukicertify itakua laki 6..
 
Kwa wale watakao hitaji ramani za nyumba, mimi ni Architect lakn bado siawa registered.. So kwa sasa nafanya residential Houses peke yake. Tuwasiliane kwa wale watakaokuaintrested, tuwasiliane. 0715321662 Tafadhali tusiwe wasumbufu kama sio muhitaji

Mm nilikuwa nahitaji kitu ya corridorless 3 bedrooms embu onyesha ufundi hapo
 
sitoweza kuweka zote au kila kitu hapa, if you are interested jst let me knw i dnt charge kuonana na client ni maelewano tu ukiridhika tunafanya kazi na pia sipokei malipo hadi pale ntakapo kukabidhi kazi yako na ukaridhika nayo..
 
Back
Top Bottom