Watu wa kuchora ramani za nyumba punguzeni udalali

Jul 25, 2020
65
125
Watu wa Ramani walikua kila nikiuliza gharama za kunichorea Ramani ya Nyumba Kawaida tu wanasema laki 7 mara laki 9 sijui unapewa Ramani na nini gani mbwembwe kibao aiseee nilibembeleza kinoma jamaa mmoja anipe Ramani kwa laki 3 akagoma eti hailipi saivi namuonaga anasema anauza Ramani kwa laki 1 nilishangaa kinoma ila niliheshimu kazi yake
 
Sikiliza wewe, ramani haiuzwi. Ukiona inauzwa basi huo ni mchoro tu kama mchoro mwingine.

Design kama design ya jengo, haiwezi kuwa chini ya 15% ya gharama ya jengo. Elewa hilo.
 
Kwamba jengo la Milioni 100 ulipe 15mil?
Siongelei ramani ndugu, naongelea ‘Design ya jengo’. Hapo kuna Architectural drawings, kuna structural drawings, at the very least!

Sasa unafahamu liability zinazobebwa na firm kwa hiyo kazi uliyompa? Likianguka likaua mtu kwa mfano, nani anaenda kuozea jela? Kweli Architect, Structural Engineer , wajipinde probably mwezi mzima kupata a working design, halafu uwape milioni 1, wamekuwa misukule wako?! Architect hadi anruhusiwa kuifanya hiyo kazi jua amesota miaka 7 katika mfumo, kuweni serious aisee..

Nyinyi endeleeni tu kununua ramani kama karanga barabarani, maana ndio mnachomudu, kila mtu ajikune anapofikia; ila hamtapata design ya jengo hata siku 1 kwa hiyo laki 3, hiyo ni michoro tu ya ‘Artists’; mnatania wazee
 
Kweli??? Sema inategemea na Nyumba! Za Mijengo yetu hii mingi hahitaji Msanifu Majengo Wala Nini?
 
Watu wa Ramani walikua kila nikiuliza gharama za kunichorea Ramani ya Nyumba Kawaida tu wanasema laki 7 mara laki 9 sijui unapewa Ramani na nini gani mbwembwe kibao aiseee nilibembeleza kinoma jamaa mmoja anipe Ramani kwa laki 3 akagoma eti hailipi saivi namuonaga anasema anauza Ramani kwa laki 1 nilishangaa kinoma ila niliheshimu kazi yake
Huwa ni Laki 2 na nusu... Haizidi laki tatu Bwasheee🤣😂🤣
 
Sikiliza wewe, ramani haiuzwi. Ukiona inauzwa basi huo ni mchoro tu kama mchoro mwingine.

Design kama design ya jengo, haiwezi kuwa chini ya 15% ya gharama ya jengo. Elewa hilo.
Nyumba ya 3 Rooms ndio nilete na ma Engineer sijui kampuni kukagua kuwa Serious basi maana hao ma engineer tunaona wanajenga na mafundi hawa hawa aa mtaani kwanza yeye anakua hayupo anakusanya tu vijana wanajenga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom