RAIS WA CHUO KIKUU CHA UDOM BW VICTOR BYEMELWA AFUKUZWA CHUO, WANAFUNZI WAPANGA KUONANA NA RAIS DR MAGUFULI
Kutokana na mkakati ulio wekwa na viongozi wa ccm wakishirikiana na Utawala wa chuo kikuu cha dodoma wameamua kuutekeleza jana
Ambapo wameamua kumufukuza chuo Rais wa wanafunzi ambae inasemekana sio wa Mlengo wao kwa kisingizio cha kuwa ameitasha College Baraza bila Ruhusa ya mshauri wa Wanafunzi yaani (Dean of Student).
Lakini katika katiba ya UDOSO Ibara 19(ii) inampa yeye kama Rais wa Chuo kuitisha Baraza la college kusikiliza kero za wanafunzi.
Basi tukokana na hilo Mwanasheria Tundu Lisu amaamua kumpigania kijana huyo apate haki yake ya kusoma na vile vile na kulipwa fidia ya ukandamizaji wa haki hii uliojitokeza
Sambamba na hayo vijana zaidi ya 50 wa Udom wamwandikia Barua Rais John Pombe Magufuli ili kuonana naye ili wamuambie suala hili maana Rais alisema katika kampen zake yeye atakuwa ni Rais wa wote na kumuomba kiongozi wao arudishwe chuoni kuendelea na masomo
Hadi sasa wanasubir watoe ushaidi wa jinsi gani utawala wa chuo cha Dodoma wamekuwa wakikandamiza haki za wanafunzi mfano kuweka pesa za mikopo ya wanafunzi kwenye Fixed account ili wajipatie faida
Ikiambatana na kuwachangisha wanafunzi Pesa za Bima ya Afya shilingi 100000 mwaka 2015 kinyume na utaratibu wakawaida ambao ni shilingi 50400 pia kuwalazimisha hata wenye bima kulipa kiasi hicho.
Imefika wakati wameanza kuchangisha pesa ya Ambulance shiling 25000 hadi sasa utawala ni majipu. Hivyo basi wanafunzi hao wanasubiri barua ya majibu kutoka ikulu ili kufikisha kilio chao