Shujaa Nduna
JF-Expert Member
- Sep 8, 2022
- 601
- 487
Mama naye atatumia makachero wake.Sina Imani nae kabisa atamburuza Maza etu.
Mama naye atatumia makachero wake.Sina Imani nae kabisa atamburuza Maza etu.
Amburuze kwa lipi.Mama naye atatumia makachero wake.
Kuna mango kaja kuweka sawa? Vipi tz ilipeleka wanajeshi Kongo kwenye kikosi cha jeshi la Afrika Mashariki?Hutakuwa ni moumbavu kama hujui umuhinu wa TZ Kwa huyo jamaa
Nan huyoKuna rais alitapeliwa na uswahiba ukafa hahaha