Rais wa Rwanda Paul Kagame awasili Nchini na kufanya Mazungumzo na Rais Samia, leo Aprili 27, 2023

Ni majuzi nilisikia huyu jamaa wa Kigali Rwanda amekuja Tanzania Kwa ziara ya kikazi ya siku mbili. Bahati mbayasikuwa karibu na Media hivyo sikusikia makusudi ya ziara yake nchini.

Wadau, naomba mnijuze, huyu jamaa Nini kimemsukuma kuja nchini? Anataka nini? Waliongea juu ya nini na mwenyeji wake Rais Samia Suluhu Hassan? Nauliza hivo Kwa sababu huyo jamaa wa Rwanda sifa na caliber yake si nzuri sana.
 
Naona kamshukuru Mama Kwa kutoingilia kati mgogoro wa eastern Congo sijajua ni kinafki au kutoka moyoni.
 
Back
Top Bottom