Rais wa Marekani akiri Hamas haiwezi kumalizwa.

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,917
109,309
John Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel.

Mengine jionee mwenyewe:

View attachment 2861726
Leo tena wapiganaji 6 wa Hezbollah wamepelekwa kwa Allah
 
Tunashuhudia hapa Al jazeera mazishi ya Kamanda Saleh wa Hamas na Wasaidizi wake wawili
Hamas siyo mtu fulani, hamas ni fiktra (ideology), sasa tumia mambomu yote ya dunia nzima kuimaliza hiyo fikra kama utaweza.

Hivi mmeisikiliza hiyo clip ya kutokea jumba jeupe au lugha inawapiga chenga mnakuja kubishan kijinga tu.
 
Wewe ndio unabishana 🐼
 
Mazayoni weusi wa JF ambao mnatokea maeneo tofauti Kimara Temboni, Bonyokwa, Magu, Makete, Simiyu, Ngudu, Unga Limited, Maji Matitu, Maramb Mawili.

Marekani kasema Hamas hawawezi kumalizwa kwa nini amesema hivi kapingana na Netanyahu? Baada ya kichapo cha Gaza.

White House National Security Council spokesman John Kirby says Hamas “still has a significant force posture inside Gaza, but Israel’s goal to defeat the terror group remains attainable.”

Kirby acknowledges, though, that while it’s possible for Israel to significantly degrade Hamas’s capabilities by eliminating the terror group’s leadership, the IDF won’t likely be able to “erase the group from existence.”

“You are probably not going to eliminate the ideology,” Kirby says, reiterating the US belief that only by presenting a viable path toward peace can the vision of Hamas be successfully combated.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Msemaji wa Baraza la Usalama la Kitaifa la White House John Kirby anasema Hamas "bado ina mkao wa nguvu ndani ya Gaza, lakini lengo la Israeli kushinda kundi la kigaidi bado linafikiwa."

Kirby anakiri, ingawa, kwamba ingawa inawezekana kwa Israel kudhalilisha uwezo wa Hamas kwa kiasi kikubwa kwa kuondoa uongozi wa kundi la kigaidi, IDF haitaweza "kufuta kundi hilo kuwepo."

"Pengine hutaondoa itikadi," Kirby anasema, akisisitiza imani ya Marekani kwamba ni kwa kuwasilisha tu njia inayofaa kuelekea amani ndipo maono ya Hamas yanaweza kupigwa vita kwa mafanikio.
 
John Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel.

Mengine jionee mwenyewe:

View attachment 2861726
Ungechanganya na za kwako usiishie za kuambiwa tu ukaamini

Inatangazwa hivyo ili waendelee kuuwawa kwa wingi huku akitafutwa mjinga mmoja ajichanganye kuingilia!

Si kweli kwamba Hamasi iliyoivamia Israel na mpaka hivi leo bado iko na nguvu kama hiyo, Hamasi imetawanyishwa, viongozi wake karibu wote wamekimbia Hapo wako kwenye mataifa mengine, lakini kwa uwingi wao wameuwawa

Endelea kuamini mazungumzo ya huyo mzungu, unapaswa uyageuze hayo maneno yawe kinyume chake,

Kuna ka nchi hadi kavimbe kichwa ili kashughurikiwe kisawasawa, bila ya hivo, bado tutaendelea kusikia hivyohivyo kutoka kwa USA na ama Israel wakiwasifu hamasi kuwa inajuwa kulenga, inamaguvu sana, wakati huo huo Palestine ikisambaratishwa

Tumia ukubwa wako kutoamini mazungumzo ya kitoto mkuu
 
Hamas siyo mtu fulani, hamas ni fiktra (ideology), sasa tumia mambomu yote ya dunia nzima kuimaliza hiyo fikra kama utaweza.

Hivi mmeisikiliza hiyo clip ya kutokea jumba jeupe au lugha inawapiga chenga mnakuja kubishan kijinga tu.
Tatizo lugha, wanakurupuka bila hata kusikiliza clip
Ila hizi sehemu 2 nimezifurahia sana sana
Dunia ya leo hakuna kitu kinafichika wote wana satellite na watu wana simu
Uongo wao wameamua kusema ukweli
Screenshot_20240104_185030_Samsung Internet~2.png
Screenshot_20240104_184832_Samsung Internet~2.png
 
Back
Top Bottom