Kumuweka Joe Biden kuwa Rais wa Marekani ni dharau kubwa kwa Marekani na ubinadamu.

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,861
20,714

Februari 16, 2024​

Video ifuatayo inatoa ukweli mno kuhusu hali halisi ya akili ya Rais wa Marekani Joe Biden, kiasi kwamba kila mtu anayeitakia mema Dunia na Marekani anapaswa kuisikiliza.Naomba ikumbukwe kwamba maamuzi anayotoa Biden yanamgusa kila mwanadamukwa njia moja au nyingine.Naomba kwa hiyo, na nahimiza kila mtu a-share video hii.

Hali ya akili ya Joe Biden inatoa picha hasi sana kwa wanaoitawala Dunia,the NWO na jinsi wanavyotudharau kama binadamu.Wenyewe wakijiita "The Elite,"sisi wengine wakituita "The Deplorables."

Ni ukweli ulio wazi kwamba kwa kumuweka Biden kuwa Rais wa Dunia,wametuona sisi wanadamu kuwa ni wajinga mno. Ukiangalia video ambayo nimeiambatanisha,utaona wazi kwamba Biden tayari ni Zombie.How for God's sake can he be the United States of America?Please see the clip for yourselves,ni dharau kubwa sana.

View: https://youtu.be/wMpwbPglkfM
 
Februari 16, 2024​

Video ifuatayo ni nzuri mno, sahihi sana, inatoa ukweli mno kuhusu hali halisi ya Rais wa Marekani kiasi kwamba kila mtu anayeitakia mema Dunia na Marekani anapaswa kuisikiliza.Kwa hiyo,naomba na nahimiza kila mtu aitume mbali.

Hali ya akili ya Joe Biden inatoa picha hasi sana kwa wanaoitawala Dunia na jinsi wanavyotuona.Wenyewe wakijiita "The Elite,"sisi wengine wakituita "The Deplorables." Ni kweli ulio wazi kwamba wamemuona sisi kama wanadamu ni wajinga mno kiasi kwamba tunastahili kuwa na kiongozi kama Biden.Ukiangalia video ambayo nimeiambatanisha,utaona wazi kwamba Biden tayari ni Zombie.Kas
Mbona hujaweka video, au imegoma?
 
Video iko wapi...au umetutumia kwa Bluetooth
 
Sio AI hii kweli mboni naona vichwa sio km SIO Biden
Huyo ni Biden kabisa,labda kama humjui.Sasa tutapataje ukweli kama kila kitu tutasingizia AI.Nothing will be true then.Kama taarifa hatuitaki tunasema ni AI,itakuwa kazi basi.
 
Back
Top Bottom