Rais Shein akagua gwaride rasmi siku ya EID

Mie sina uhakika a kitendo hicho....tunaomba aliyechukua picha wakati anakagua gwaride hilo atuwekee humu jamvini... itasaidia na ili tuweze changia vizuri zaidi
 
Tatizo viongozi ndio wanaozidi kuongeza matatizo, lengo pale nikonyesha dunia na wabara kuwa zanzibar haitambui wimbo wa taifa Tanzania bali wimbo wa taifa lao zanzibar. kwa hiyo ile ilikua kubip na kusikilizia watu wata comment vip?. Na imefanyika siku ya Eid kwa kuwa lengo ni kwa Zanzibar kuongozwa kwa sharia za kiislamu kama nchi. kwahiyo shein kupewa hiyo heshima siku ya sikuu ya kidini lengo kuu ni hilo.
My take hawa watu kwanini wasiachiwe huru wajiendeshee mambo yao zanzibar, na wapemba na wazanzibary walojazana bara hasa Dar watuachie hivyo viwanya warudishwe kisiwani wakavue samaki, wabara wa zanzibar waje wakaee kwa amani bara. Inakua shida sana kujua faida ya plastic union amabayo kila upande haoni manufaa yake. Let Zanzibar be freee na sie tubaki na bara yetu wasitutishe.
 
rais wetu au 'rais' wa zanzibar?

...ni rais wa zanzibar mwenye asili ya pemba..! aaah! baada ya waunguja kuwa ikulu kwa kipindi kirefu, alhamdullillah...ni zamu yetu sasa... na ubunifu si haba...!! namna mpya ya kusheherekea ied .! kila zama na kitabu chake yakhe...mwenye wivu.......!!!!
 
Ya Kaisari muachieni kaisari, wabara mbona mnapenda kujadili mambo ya wenzenu? waacheni wafanye watakalo na mji wao.
 
hayo ndio maneno ya makafiri siku zote...!!!sina haja ya ban mie!!!kafiri kwani ni tusi???

[h=1]Waislamu wengi wauwawa Burma[/h]
27 Oktoba, 2012 - Saa 15:07 GMT



Wilaya nzima inayokaliwa na Waislamu waitwao Rohingya imeangamizwa katika ghasia za karibuni kabisa za kidini magharibi mwa Burma.
121026152004_burma_refugee_rohingya_304x171_afp_nocredit.jpg


[h=2]Taarifa zinazohusiana[/h]



Shirika la kutetea haki za kibinaadamu, Human Rights Watch, limechapisha picha zilizopigwa na satalaiti, ambazo zinaonesha kuwa nyumba zaidi ya 800 zimechomwa moto kwenye mji wa kando ya bahari uitwao Kyaukpyu.
Wakuu wamesema kuwa Waislamu zaidi ya 3000 wamenasa kwenye kisiwa baada ya kukimbia makwao kwa mashua, na wamekataliwa kuingia katika mji mkuu wa jimbo, Sittwe.
Serikali ya Burma inasema kuwa watu zaidi ya 60 waliuwawa katika juma la mapigano baina ya Waislamu na Wa-Buddha katika jimbo la Rakhine, na kuna wasiwasi kuwa idadi hiyo inaweza kuwa kubwa zaidi.
Waislamu hao hawatambuliwi kuwa raia wa Burma.
 
oooooh! kuna mfumo kristo. hiyo nayo ni mfumo nini. askari wanaolipwa fedha za serikali? hawa jamaa bana wana agenda ya siri sana. kwa mani yangu shein kavunja katiba.
 
SHEIN ALIKUWA ANAWAWASHIA INDIKETA UAMSHO KWA KUAMUA KUKAGUA GWARIDE SIKU YA IED


PALE ILIKUWA ANAWAFIKISHIA SALAMU UAMSHO WANAOJIFANYA WAISLAM kuliko SHEIN
 
Back
Top Bottom