Rais Samia: Tuna 99% ya Hati Safi na 1% tu ndio Hati Chafu, Ripoti za CAG zinatusaidia Sana Tunasonga mbele!

Sishangai alichosema mama Samia maana ccm huwa wanaelewa mambo kinyumenyume. Sasa subiri chawa wavamie majukwaa kuja kupotosha ukweli wa mambo. Lakini hata hivyo ni mwendawazimu atakuwa serious kufuatilia hizo taariza za wapika data.
 
Huwezi ukaelewa kitu maana mlishazoea kufanya maombi ya kuombea mabaya yote halipate Taifa letu.ndio maana lolote ambalo likitajwa na likawa haliichafui serikali na viongozi wake na Taifa zima kwa ujumla, mnaona habari hiyo siyo habari na haina ukweli.
 
Uko sahihi kabisa chawa muandamizi. Lakini mjinga tu wa aina yako ndio anaweza kuamini hizi taarifa za kupika.
 
H
Mtu kashikwa na vipande vya nyama ya pofu kafungwa miaka 20.
Report ya cag safi 99%.
Chaguo la Mungu huyu.
Kweli mama etu zumbu.k.u.k.u ulimwengu upo huku. Ye anadhani hati safi ni halmashauri kufanya vizuri??? Hajui kama enzi za JK wakurugenzi walikuwa wanaandaa bahasha nono kwa wakaguzi ili kupata hati safi..na kwa serikali hii kinashindikana nini kwa wakurugenzi kutenga mafungu kwa wakaguzi ili kulinda ulaji wao.
 
"Kwanza kabisa nipende kuchukua nafasi hii kumshukuru mheshimiwa Rais Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuupiga mwingi"

"Mama anafanya kazi kwa vitendo sisi wote ni mashahidi".

Hizi kauli huwa zimekaa kinafki sana.

Nikirudi kwenye mada.

Hatuwezi kuwa na taifa lenye maendeleo ya kudumu ikiwa asilimia kubwa ya vijana wa taifa hilo wamegeuka kuwa machawa badala ya kufanya kazi.

Yaani ukikutana na ratiba ya kijana ambaye ni chawa wa mama.

J3- Yuko kwenye kikao cha seneti
J4- Semina
J5- Semina
Al - Semina
Ij - Mualiko nyumbani kwa kiongozi
Jmo -Anapeleka nguo kwa dry cleaner na kuzurura kitaa
Jpi - Anawaza namna ambavyo wiki yake mpya itaanza huku akifanya analysis ya events zijazo.

Hapo anafanya yote hayo sababu ya viposho vya mikutanoni.

This is not serious.

Hatuwezi enda mahala popote pale ikiwa tuna sampuli hii ya vijana.

Tuanze kubadilisha hawa vijana kwanza ambao akili zao zimekuwa addicted na uchawa.
 
Rais Samia amesema Ripoti za CAG zinafanyiwa Kazi na watu wanaokwenda kurekebisha makosa ndio sababu kuna Ongezeko la Hati Safi

Rais Samia amesema 99% ni Hati Safi na 1% tu ndio Hati chafu kwahiyo Tunasonga mbele Ripoti hizi zinasaidia Sana

Source: Clouds Media
CAG ameshawekwa sawa na manyangumi kuwa ripoti hii isiwe ya unaa sana.

Kwa hiyo miradi iliyotafunwa na wahusika kuhamishwa hamishwa haikuingizwa kwenye ripoti?

Nani anamkagua CAG kama anafanya weledi kwenye kazi yake?
 
Acheni roho mbaya ,wivu na chuki.basi na wewe lete ripoti yako na siyo kuandika vitu vya kufikirika,uongo,uzushi na ujinga jinga tu wa kitoto wa kutamani mabaya tu.
 
Back
Top Bottom