Kikao Kamati Kuu ya CCM Kimeitaka Serikali Kuwachukulia Hatua Haraka Waliotajwa ripoti ya CAG na TAKUKURU

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:

1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
 
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti tajwa
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Mkuu nawapongeza kwa maamuzi hao! Lakini isiwe kama ile tume ya kuchunguza waliotapanya mali za Chama, na hakuna mrejeshao hadi leo.
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:

1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Sijaona weledi wa TAKUKURU hapo.

TAKUKURU wangekuwa weledi wangeyajua haya kabla ya CAG
 
Huwa nasikia kuna kikao kamati Kuu na mwenyekiti wao ila sijawahi sikia outcome ya Vikao vyao hata siku moja

Huwa kama siri vile ila kwa sababu wameguswa penyewe ndio wamekurupuka kuziba ziba

Tunataka hela zetu blaa blaa za nini
 
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichoketi hii leo tarehe 1 April 2023 chini ya Uenyekiti wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan kimetoa maazimio yafuatayo:

1. Ofisi ya CAG na TAKUKURU Zimepongezwa kwa kufanya kazi kwa weledi
2. Serikali imetakiwa kuchukua hatua thabiti kwa wahusika wote waliothibitika na kutajwa katika ripoti za CAG na TAKUKURU
3. Serikali kuwafuatilia watu wote wanaotumia dhamana na nafasi za umma vibaya na kwa maslahi binafsi na kushindwa kuweka maslahi ya nch mbele.

Tutegemee barua za utenguzi "soon" lakini kuna watu watapanda kizimbani,
Huijui ccm wewe
 
Uwajibikaji, ufuatiliaji, usimamizi ni misingi ya Chama Cha Mapinduzi. Kidumu Chama Cha Mapinduzi
Waliwai fanya kipi kizuri zaidi kwa watanzania? Au unafikiri hii ndio awamu ya kwanza CAG kuleta madudu? Kilichomtoa Assad ofisini kilikuwa ni nini?

Rais wa JMT ana mamlaka makubwa so tunahitaji kuona uwajibikaji na sio vikao vya ovyo ovyo hayo au ofisi ya Rais anawaogopa hao majizi?
 
Back
Top Bottom