johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,997
- 142,016
Spika wa Bunge Dr Tulia ametoa ufafanuzi na Elimu ya namna Ripoti ya CAG inavyoshughulikiwa bungeni
1. Ripoti ya CAG inakuwa public mara itakapowasilishwa bungeni kwa mujibu wa sheria
2. Ikishawasilishwa itapelekwa kwenye Kamati za kisekta ambako waliotajwa kwenye Ripoti wataitwa na Bunge na kuhojiwa
3. CAG ni jicho tu la Bunge la kutuonesha kilichotokea lakini hana Maamuzi yoyote Wenye Maamuzi ya mwisho ni Bunge
4. Rais Samia baada ya kukabidhiwa Ripoti na CAG aliagiza Mawaziri na Wataalamu wao wajiandae kuja kujieleza bungeni kwa niaba ya Serikali
5. Swala la kuongezwa Bei kwenye Ndege ya mizigo halimo kwenye Ripoti ya CAG ni Rais mwenyewe aliliona na ndio sababu aliagiza palepale waliohusika na kuongezeka kwa Bei Hiyo Watupishe
Source East Africa Radio
Mlale Unono!