TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 2,807
- 9,051
Nitolee upumbavu wako hebu na wewe, na iwe mwanzo na mwisho kuniquoteAcha ujinga wako.uongo upi alioongea hapo? Au unataka aongee yanayokufurahisha wewe tu na moyo wako.
Nitolee upumbavu wako hebu na wewe, na iwe mwanzo na mwisho kuniquoteAcha ujinga wako.uongo upi alioongea hapo? Au unataka aongee yanayokufurahisha wewe tu na moyo wako.
Ukitaka hama hata nchi.Sasa huyu mama naanza kumchukia! 😩😩😩😩
Ondoka katika hili jukwaa ukitaka na ukaanzishe lako na familia yako tu ndio uweke masharti yako huko ya kijinga jinga .Nitolee upumbavu wako hebu na wewe, na iwe mwanzo na mwisho kuniquote
Tena aliyemloga kafa kwa kuliwa na mamba , wala hatukuzikaUmelogwa wewe usiyeelewa kitu na kufanya kazi ya kukurupuka tu.
Samia naye ni fisadi na anatetea na kulinda ufisadiRais Samia amesema Ripoti za CAG zinafanyiwa Kazi na watu wanaokwenda kurekebisha makosa ndio sababu kuna Ongezeko la Hati Safi
Rais Samia amesema 99% ni Hati Safi na 1% tu ndio Hati chafu kwahiyo Tunasonga mbele Ripoti hizi zinasaidia Sana
Source: Clouds Media
Ukiweka uchawa pembeni na ukija kwenye fahamu zako unaweza kuona ninachokiona......Acha ujinga wako ndugu yangu na uwe na adabu kwa Rais.kwa hiyo hapo nini ambacho hujaelewa katika maneno ya Mheshimiwa Raisi?
Chawa kwako unaona rais ni Mungu, sisi wengine tunajua ni sehemu tu ya majizi ya kura. Ww ndio uwe na adabu kwake maana anasaidia familia yako kupata choo laini.Acha ujinga wako ndugu yangu na uwe na adabu kwa Rais.kwa hiyo hapo nini ambacho hujaelewa katika maneno ya Mheshimiwa Raisi?
Huwezi ukaelewa kitu maana mlishazoea kufanya maombi ya kuombea mabaya yote halipate Taifa letu.ndio maana lolote ambalo likitajwa na likawa haliichafui serikali na viongozi wake na Taifa zima kwa ujumla, mnaona habari hiyo siyo habari na haina ukweli.Sishangai alichosema mama Samia maana ccm huwa wanaelewa mambo kinyumenyume. Sasa subiri chawa wavamie majukwaa kuja kupotosha ukweli wa mambo. Lakini hata hivyo ni mwendawazimu atakuwa serious kufuatilia hizo taariza za wapika data.
Uko sahihi kabisa chawa muandamizi. Lakini mjinga tu wa aina yako ndio anaweza kuamini hizi taarifa za kupika.Huwezi ukaelewa kitu maana mlishazoea kufanya maombi ya kuombea mabaya yote halipate Taifa letu.ndio maana lolote ambalo likitajwa na likawa haliichafui serikali na viongozi wake na Taifa zima kwa ujumla, mnaona habari hiyo siyo habari na haina ukweli.
Malaya wewe acha shobo utashikishwa ukuta hii nchi ni ya mama yako?Ukitaka hama hata nchi.
Kweli mama etu zumbu.k.u.k.u ulimwengu upo huku. Ye anadhani hati safi ni halmashauri kufanya vizuri??? Hajui kama enzi za JK wakurugenzi walikuwa wanaandaa bahasha nono kwa wakaguzi ili kupata hati safi..na kwa serikali hii kinashindikana nini kwa wakurugenzi kutenga mafungu kwa wakaguzi ili kulinda ulaji wao.Mtu kashikwa na vipande vya nyama ya pofu kafungwa miaka 20.
Report ya cag safi 99%.
Chaguo la Mungu huyu.
Kama una hasira sana basi kunywa sumu UFE tu maana huna faida kwa Taifa letu😃😃😃Malaya wewe acha shobo utashikishwa ukuta hii nchi ni ya mama yako?
Acheni Majungu na uzushi wenu wa kitoto .Uko sahihi kabisa chawa muandamizi. Lakini mjinga tu wa aina yako ndio anaweza kuamini hizi taarifa za kupika.
CAG ameshawekwa sawa na manyangumi kuwa ripoti hii isiwe ya unaa sana.Rais Samia amesema Ripoti za CAG zinafanyiwa Kazi na watu wanaokwenda kurekebisha makosa ndio sababu kuna Ongezeko la Hati Safi
Rais Samia amesema 99% ni Hati Safi na 1% tu ndio Hati chafu kwahiyo Tunasonga mbele Ripoti hizi zinasaidia Sana
Source: Clouds Media
Tuna ushahidi na maelezo yetu chawa muandamizi.Acheni Majungu na uzushi wenu wa kitoto .
Acheni roho mbaya ,wivu na chuki.basi na wewe lete ripoti yako na siyo kuandika vitu vya kufikirika,uongo,uzushi na ujinga jinga tu wa kitoto wa kutamani mabaya tu.CAG ameshawekwa sawa na manyangumi kuwa ripoti hii isiwe ya unaa sana.
Kwa hiyo miradi iliyotafunwa na wahusika kuhamishwa hamishwa haikuingizwa kwenye ripoti?
Nani anamkagua CAG kama anafanya weledi kwenye kazi yake?
Weka huo ushahidi hapa ewe nyumbu.Tuna ushahidi na maelezo yetu chawa muandamizi.