Jiwe alifikiri akiua watu na akiwakataza kumkosoa halafu akawa anasema yeye tu basi watampenda. Ilipofika uchaguzi akaona hali yake kisiasa ni mbaya sana.
Akaanza kubwata bwata kama kichaa. Akawaambia wakurugenzi "marufuku kumtangaza mpinzani wakati ccm ndiyo inawalipeni mshahara". Hapa kwa kweli alikuwa amechanganyikiwa.
Pamoja na hivyo akawa bado na wasiwasi. Kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa akawakusanya watendaji wa kata nchi nzima akaongea nao. Sijui aliwaambia nn?
Uchaguzi mkuu Sasa akazima internet baada ya kuona kila mahala kapata kura kiduchu na kura feki za kumnusuru zinazosambazwa na vijana wake zinarekodiwa kwa simu na kurushwa mitandaoni.
Sasa ni zamu yake rais Samia. Muda umefika wa yeye kujua rangi halisi za watanzania. Hivi kweli atatoboa huyu mama??
Wananchi wakikumbushwa kuhusu:-
1. Tozo.
2. Dp World.
3. Mgawo wa umeme.
4. Kuhamishwa kwa wamasai wa Ngorongoro.
5. Kufukuzwa kwa wamasai wa Loliondo.
6. Rushwa na upigaji serikalini.
7. Kukopa mikopo kuliko kithiri.
8. N.k
Hivi kweli rais Samia hatazima internet kwenye uchaguzi ujao??