Rais Samia awaambia TRC/Wizara ya Uchukuzi, amechoka na Vijisababu, SGR Dar-Dom lazima ianze Kabla ya July 2024

Lakini tuliahidiwa

20240101_093719.jpg
 
Naungana na Mh.Rais endapo kina kadogosa na Mbarawa wakishindwa ku meet deadline hii Fukuza.

Na kama hawako sure Kwa axact date wakome kutangazia Umma tarehe harafu mda ukifika hakuna kinachoendelea wanakuja na visingizio vingine vya kijinga.

Nyie TRC/Wizara ya Uchukuzi mumevumiliwa sana kama TANESCO.

Heri ya Mwaka Mpya na kazi inaendelee.

---
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa wanaohusika na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kuhakikisha inapofika Julai 2024 safari za kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma zinaanza.

Rais Samia ameyasema hayo leo Desemba 31, 2023 akihutubia nchi katika salamu zake za mwaka mpya 2024.

“Nimekuwa nikisikia mabadiliko ya tarehe za kuanza kwa safari za treni, na kwa kweli, wananchi wamechoshwa na vijisababu, wanataka kuona reli ikifanya kazi. Sasa, naelekeza, ifikapo mwisho wa Julai 2024, safari kati ya Dar es Salaam hadi Dodoma zianze,”amesema Rais Samia.
Masanja Kadogosa msaidizi wake Machibya Masanja, unategemea ufanisi utatoka wapi ktk undugunization km huo. Weka pembeni Kadogosa mswahili tu yule.
 
Naungana na Mh.Rais endapo kina kadogosa na Mbarawa wakishindwa ku meet deadline hii Fukuza.

Na kama hawako sure Kwa axact date wakome kutangazia Umma tarehe harafu mda ukifika hakuna kinachoendelea wanakuja na visingizio vingine vya kijinga.

Nyie TRC/Wizara ya Uchukuzi mumevumiliwa sana kama TANESCO.

Heri ya Mwaka Mpya na kazi inaendelee.

---
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa wanaohusika na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kuhakikisha inapofika Julai 2024 safari za kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma zinaanza.

Rais Samia ameyasema hayo leo Desemba 31, 2023 akihutubia nchi katika salamu zake za mwaka mpya 2024.

“Nimekuwa nikisikia mabadiliko ya tarehe za kuanza kwa safari za treni, na kwa kweli, wananchi wamechoshwa na vijisababu, wanataka kuona reli ikifanya kazi. Sasa, naelekeza, ifikapo mwisho wa Julai 2024, safari kati ya Dar es Salaam hadi Dodoma zianze,”amesema Rais Samia.
hapo sasa asilazimishe walipue, awaache wafanye kitu cha kueleweka, sio walianzishe kwa pupa na lilete matatizo itakuwa haina faida.
 
Chawa wa matapeli kazi mnayo.
 
Umeme kasema February ikifika February utaona TANESCO watakavyompiga chenga ya mwili kule bwawa linasuasua tuliambiwa January 2024 sasa sijui limepelekwa mpaka January 2026 labda,
 
Naungana na Mh.Rais endapo kina kadogosa na Mbarawa wakishindwa ku meet deadline hii Fukuza.

Na kama hawako sure Kwa axact date wakome kutangazia Umma tarehe harafu mda ukifika hakuna kinachoendelea wanakuja na visingizio vingine vya kijinga.

Nyie TRC/Wizara ya Uchukuzi mumevumiliwa sana kama TANESCO.

Heri ya Mwaka Mpya na kazi inaendelee.

---
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa wanaohusika na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kuhakikisha inapofika Julai 2024 safari za kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma zinaanza.

Rais Samia ameyasema hayo leo Desemba 31, 2023 akihutubia nchi katika salamu zake za mwaka mpya 2024.

“Nimekuwa nikisikia mabadiliko ya tarehe za kuanza kwa safari za treni, na kwa kweli, wananchi wamechoshwa na vijisababu, wanataka kuona reli ikifanya kazi. Sasa, naelekeza, ifikapo mwisho wa Julai 2024, safari kati ya Dar es Salaam hadi Dodoma zianze,”amesema Rais Samia.
Ukiwa na akili timamu huwezi kuliamini wala kulipigia debe hili li kiongozi zaidi ni kuliombea liondoke kwa aibu tu
 
Back
Top Bottom