Naskia museven alitaka kwenda na hii ndinga wamemgomea
20220919_114224.jpg
 
Sasa kama Rais ndani ya basi je wale wapambe si wamebakia hotelini, protokali zote kwishnei...

Kweli Tanzania nchi ndogo sana, maana ningefarijika kama marais wa Ufaransa, Ujerumani US, Canada nao ningewaonamo humo.
Rais wa nchi yeyote haendi sehemu bila walinzi kutangulia, Lazima walinzi wa hao viongozi walitangulia siku kadhaa kabla,na huko Bus liendako wapo
 
Back
Top Bottom